Tumia mbinu zile zile ambazo wewe huwa unafanya unapokuwa umetoka nje ya ndoa
Umeniacha mbavu sina! Unavyofanya asikugundue basi tumia vigezo hivyo!
Uki du naye itakuwa inalia pwata ..pwata .. pwata ...pwata ...pwata....pwata..pwata hapo sasa:lol::lol:...:lol:........!!
Au itegee sikio itakunong'oneza jambo......!
je kama walitumia condom hapo kitatoka kitu gani sasa? hebu fafanua maana hiyo ingekuwa rahisi maana unamlengesha kwenye ugoro tu! chafya zinatoka kama mvua!Mbona mbinu zipo tena sana kujua........moja wapo ni hii.... kama atakuwa amefanya muda si mrefu sana..."do any means apige chafya"... Kama hakutumia mpira akipiga chafya....nakwambia sperms zitarudi tu....check it out.... Another trick..ni pm
Wadau wa Jf,tupeane maujuzi hapa,hivi ni kitu gani au dalili gani itakayokuwezezesha kugundua kuwa mkeo katembea nje ya ndoa?Yaani kakuaga anaenda kwenye shughuli zake na alipofika huko ka-du na mtu wake na karudi siku hiyohiyo.:embarassed2:
Anaweza akawa serious au ana aibu fulani
ukimwangalia machoni unaweza kumjua kabisa.........................