Mke kutembea nje ya ndoa

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,818
22,920
Wadau wa Jf,tupeane maujuzi hapa,hivi ni kitu gani au dalili gani itakayokuwezezesha kugundua kuwa mkeo katembea nje ya ndoa?Yaani kakuaga anaenda kwenye shughuli zake na alipofika huko ka-du na mtu wake na karudi siku hiyohiyo.:embarassed2:
 
Ngoja wadau watakupatia majibu!

Kuwa mpole stephot kwani yaelekea umechafuliwa ndevu!
 
Mambo yetu yale hayana shombo hivyo inawezekana ikawa ni vigumu kujua ila tu kama atakuwa kakutana na kitu kikubwa zaidi yako na hivyo kutokea maharibiko eneo husika na aliporudi kwako ukataka,hapo unaweza kugundua lakini zaidi ya hapo usitegemee kujua cha msingi ni kufuatilia nyendo zake mbalimbali na hata wakati wa chakula cha usiku maana kama kanogewa nje usitegemee kama atakuwa anaenjoy tena kwako na ni rahisi kulitambua hilo maana ushirikiano utapungua ila usihukumu maana wakati mwingine inatokana na uchovu tu wa pilika za kila siku.
 
Uki du naye itakuwa inalia pwata ..pwata .. pwata ...pwata ...pwata....pwata..pwata hapo sasa:lol::lol:...:lol:........!!
Au itegee sikio itakunong'oneza jambo......!
 
Ukihangaika na mambo haya utakufa mapema. Aminianeni katika ndoa yenu, kila mmoja ampe mwenzie haki yake, pendaneni, tianeni moyo, saidianeni. Mkabidhini Mungu njia zenu nanyi mtakaa salama. Msiruhusu ufa wa roho ya uchunguzi, kufuatiliana, kuhisiana mabaya, kuviziana katika mambo fulani hasa ya kimapenzi, kuruhusu mtu wa tatu katika ndoa; hamtadumu na utagundua kasoro tuuuu!!!!!!!!!!!!!
 
Mbona mbinu zipo tena sana kujua........moja wapo ni hii.... kama atakuwa amefanya muda si mrefu sana..."do any means apige chafya"... Kama hakutumia mpira akipiga chafya....nakwambia sperms zitarudi tu....check it out.... Another trick..ni pm
 
Uki du naye itakuwa inalia pwata ..pwata .. pwata ...pwata ...pwata....pwata..pwata hapo sasa:lol::lol:...:lol:........!!
Au itegee sikio itakunong'oneza jambo......!

Hahahaaaaaaaa....
 
Anaweza akawa serious au ana aibu fulani
ukimwangalia machoni unaweza kumjua kabisa.........................
 
jf is never boring aisee yaani kuna mtu ana comment hadi kicheko kinakubana lol!
 
Mbona mbinu zipo tena sana kujua........moja wapo ni hii.... kama atakuwa amefanya muda si mrefu sana..."do any means apige chafya"... Kama hakutumia mpira akipiga chafya....nakwambia sperms zitarudi tu....check it out.... Another trick..ni pm
je kama walitumia condom hapo kitatoka kitu gani sasa? hebu fafanua maana hiyo ingekuwa rahisi maana unamlengesha kwenye ugoro tu! chafya zinatoka kama mvua!
 
Wadau wa Jf,tupeane maujuzi hapa,hivi ni kitu gani au dalili gani itakayokuwezezesha kugundua kuwa mkeo katembea nje ya ndoa?Yaani kakuaga anaenda kwenye shughuli zake na alipofika huko ka-du na mtu wake na karudi siku hiyohiyo.:embarassed2:

Imekuaje mkuu, umehisi unaibiwa? Kwa kifupi ni ngumu ktk hali ya kawaida kugundua maana wanawake ni wajanja mno. Cha msingi ni kumwamini na kumpa uhuru wakati huo huo na wewe kama baba unatimiza majukumu yako ya kimahusiano, kindoa na kiuchumi ipasavyo na kushirikishana, kushauriana na kusaidiana kwa kila hali. Mwanamke hachungiki kwa style unayoifikiria.
 
Du...basi nichangie tu. Ni vigumu sana kujua. Hasa akiwa mzoefu. Hili la aibu ni mzinzi amacha. La kuwa serious ni la wazoefu. Lakini kwa wazoefu, pia inasemekana hujaribu kuficha wizi kwa kuufunika na penzi kali usiku.

Inasemekana ukiona kazidisha penzi ni kwamba anataka siku hiyo ipite hujajiuliza mengi. Kwa hiyo defensive mechanism kupunguza maswali ni ukali kwa upande ama kuzidisha penzi, japo ni penzi hewa.

Mchangiaji mmoja amesema ukijaribu kumfuatilia sana mkeo unaweza ufe kabla ya wakati wako. Mwachie Mungu tu, basi. Hutamchunga mke ukaweza! Inaaminika kuwa dawa nzuri ni kumfanya akupende wewe tu siku zote kwa kumpatia kwa ukamilifu maitaji yake. Kula chakula vizuri pasipo kubwia mipombe sana shooting isilete shida. Jitahidi kuimarisha uchumi wako maitaji ya fedha yasilete sana shida. Halafu ingawa hili limenishida mimi, nasikia utanashati unampa sana raha mke kuwa mkeo na kuambatana na wewe zaidi katika yote.

Kwa kifupi preventive measures zitumike zaidi kuliko haya yanayohusiana na wivu; kama hili ulilolileta hapa

Anaweza akawa serious au ana aibu fulani
ukimwangalia machoni unaweza kumjua kabisa.........................
 
Back
Top Bottom