Mke kukimbia mume

kadogosakado

Member
Jun 8, 2011
35
3
Inasikitisha mke kukimbia mume baada ya kuona kaishiwa lakini huyohuyo mume kahangika hadi alipo ni halali ushauri,maoni
 
Mtu anakimbia na watoto anawaacha huko huko!!Ndo matatizo ya wanaume kuingizwa mkenge wa kuoa vitegemezi...siku ukiishiwa hunaye tena!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom