mke hataki kufanya sex,msaada plz

Kwani rafiki yako sio member wa JF?
Mshauri aje ajiunge ili awe anapost yeye mwenyewe.
 
Wanawake wanahitaji maandalizi kabla,sio kumshtukiza tu wakati usikute siku nzima mlikua hamna maelewano mazuri. Jaribu kumuandaa kwa siku nzima,muoneshe unamjali japo kwa kumpigia simu au kumtumia vi-msg vitamu ili awe na hamu na ww
 
Matatizo yanayo fanana na hili yapo, jamaa awe na subira asijihisi yeye ni wakwanza kupatwa na tatizo kama hilo;

  1. Namshauri jamaa azungumze na mkewe kama kuna sababu zozote zinazo mpelekea awe na tabia hiyo. Kama atagundua tatizo lolote; alitafutie ufumbuzi.
  2. Kama atagundua hana tatizo; aache kulala nae, kwa kumhama chumba; kama kuna nafasi ya kutosha au kwa kuhama kitanda (ikibidi jamaa alale chini, amuache wife alale pekeyake)
  3. Kama mke hatojirekebisha; jamaa ampige, pigo lisilo umiza. atumie khanga, au hata kipande cha gazeti (asimuumize na asimpige sehemu za usoni)
  4. Kama hato jirekebisha; uwafahamishe wazazi wake na wazazi wa mkewe, wamuweke kikao wife wake na wamueleze tabia yake inahatarisha ndoa yake.
  5. Kama hatua zote hizo hazito saidia (amuache kwa wema) ampe talaka moja, hajirekebishi; yapili, hajirekebishi; yatatu. Tafuta mke huenda huyo sio rizki yako.

Wakati anafuata hizo step hapo juu, amhudumie mkewe kama kawaida, matumizi na haswa vizawadi asisahau na asionyeshe kumchukia ajitahidi kumjali na kumuonyesha upendo mkewe.

Na wakati wa kumuacha amuache kwa wema, asimtukane, asimpige na ajiepushe kuzungumza matatizo ya mkewe kwa kwa watu.
 
Muambie arudishe yale yote aliyokuwa anamfanyia na yanampa hamu ya tendo la ndoa. Kama unapotea zako asubuhi unaenda kazini, unatokea kama msukule home na kuangalia mpira. Ukiingia kitandani ndo unanyoosha mkono! Lazma ikule kwako. Hata nyama unaona ni tamu, tunaiweka chumvi na vitunguu swaumu kabla, hadi saa ya kupika inakuwa chumvi imeingia hadi kwenye mfupa!
LIKE 1000 kwako
 
c ivo ndugu,yeye ameona ni mabadiliko ya ghafla na c kwamba walikuwa wanatiana kila cku bali anapotaka hupewa na yawezekana kwa wiki mara mbili au tatu ila kwa sasa akiomba huambiwa kachoka na yaweza kupta wik hapewi na hata acpoomba tofaut na zaman.
Ooohkey, kama ni mabadiliko ya ghafla ni vyema jamaa naye akabadilika ghafla, liwalo na liwe
 
habari wanajf! nina rafik yangu ambaye ameoa miaka 2 iliyopta na walikaa vyema ktk ndoa yao mwanzon mwa hiyo ndoa yao,tatzo ni kwamba kwasasa jamaa ananiambia hana furaha ktk iyo ndoa yao kwan tendo hulipata kwa nadra sana,yan mpaka mwanamke atake mwenyewe ndo atapewa inaweza kupta hata wiki kungonoka tofaut na mwanzo ambapo jamaa akitaka tu hupewa yan huko awali,swali ni je huyo mwanamke anaweza kuwa ana mtu pemben au ni tatizo?msaada wadau

Hapo kwenye red...inawezekana jamaa ana demu pembeni na mke kamshtukia pia....LoL
 
Ni wewe halafu unamsingizia rafiki yako,,,kwani ukijitaja kuna ubaya gani il-hali ID yako haikutambulishi.
 
Wanawake wanahitaji maandalizi kabla,sio kumshtukiza tu wakati usikute siku nzima mlikua hamna maelewano mazuri. Jaribu kumuandaa kwa siku nzima,muoneshe unamjali japo kwa kumpigia simu au kumtumia vi-msg vitamu ili awe na hamu na ww

poa ZURY nimekupata
 
Ndani ya ndoa hakuna neno kubaka halipo kabisa kisheria. huyu jamaa kumkomesha huyu mwanamke ni ku-loose interest ten times .Atanyooka. Wakati mwingine unapoogopa outcomes unazidi kujitesa zaidi. mi mke wangu wa ndoa alinizingua sana nikajitahidi wapi to the point ya kuonyesha dalili za kutokua mwaminifu. Nikamuomba Munug wangu, nikamuachia yeye, amehangaika na ulimwengu wee nimeteseka miaka mitano at last amerudi mwenyewe na yuko nyumbani katulia, mi nahangaika na kutafuta maisha huku na kule yeye yupo home na ana-cooperate sana.sikuanza kumuhoji kwanini ulifanya hivi wala vile. Mke wa ndoa analindwa na agano sio tabia zake huwezi kumuacha kabisa. Ila kumbe ndugu walikua wanafurahia ule mwanya kwani nyumba haikua na protection yoyote kwa hiyo kwangu walikua wanajifanyia wanavyotaka. tangu amerudi ka mwanya hako kamepungua sasa wanarusha kila aina ya dongo mi nayameza wala simwambii maisha yanaendelea happily.
 
Back
Top Bottom