Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
Una bahati hujaolewa na mimi. Ungenipa hako kakijoleo kako, utake usitake. Si uliapa na ukasaini tena mwenyewe kabisa tena mbele ya watu na Mungu kuwa utanipa bure tena katika shida na raha?
nadhani mr wake hakumzoesha haya mambo, wengine tumezoeshwa kiac cha kwamba ni ishu ya kawaida mpaka ukickia mtu analalama kama hivi unajua kweli watu tupo tofauti sana, mapumziko ni cku nikiwa heaven au kuna mmoja kasafiri....kwani wengine wanafanya kama kusulubiana?....halafu nimekumic.