Mke anataka kunikimbia...

kusoma katikati mya mistari ni sifa nyingine ya infii. Yaani jamaa limeruhusiwa kufanya infii badala ya kufurahi anakuja kulalama huku jf. Dah! I wish my wife wangu angenipangia ratiba ya kugawiana vikojoleo......ingekula kwake mazima.

hivi mama matesha huwa hakupangii ratiba kweli
 
WanaJF naombeni mnishauri;
Ninaishi na mke wangu kwenye ndoa kwa mwaka wa tatu sasa na tumebahatika kupata mtoto mmoja mwenye miaka miwili kwa sasa.Katika muda wote wa ndoa yetu nilikuwa mikoani na nje ya nchi hivyo sijwahi kuwa na kwe wangu kwa miezi miwili mfululizo na huko nilikokuwa nilikuwa nikitafuta ''mapozeo'' kupunguza hamu ya tendo.Kwa hivi sasa nimekaa kwa muda mrefu na mke analalamika kuwa niko too demanding kwenye tendo la ndoa kwani katika hali halisi kila siku nafanya na ni minimum of 2 rounds per night.Sasa kwa sasa tuna ugomvi kila siku anadai anachoka na hawezi kuhimili hali hii na mimi naogopa kumsaliti kwa kwenda kutafuta huduma hiyo nje ya ndoa naombeni ushauri.

Duuh tatizo lako kama langu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom