Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

Charity hii post yako nimeisoma kwa umakini sana hivi kweli hawa Jini mahaba wapo???
Jini mahaba wapo, na ndio tatizo kubwa kwenye ndoa nyingi zenye issue kama hii, lenyewe linataka lijipigie peke yake ukiwa usingizini na ndio wanaoharibu sana mimba.

Ila solution yake IPO.
 
Fanya uchunguzi wa kina kama huenda kuna njemba anaemshughulikia huko nje. Kama hakuna basi tafuta wale waliompa mafunzo ya kitchen party uwaeleze matatizo ya mkeo. Ikishindikana basi nyumba ndogo ni muhimu.
 
Fanya uchunguzi wa kina kama huenda kuna njemba anaemshughulikia huko nje. Kama hakuna basi tafuta wale waliompa mafunzo ya kitchen party uwaeleze matatizo ya mkeo. Ikishindikana basi nyumba ndogo ni muhimu.
Kitchen party ni Kwa ajili ya kutunzana Zawadi tu hakuna lolote la maana, Kungwi mwenyewe wa kitchen party hana ndoa.

Ukishakuwa na situation hiyo na mpunga unao mwanaume inabidi ujiongeze tu hakuna namna, kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume, Kwahiyo si vibaya kwenye mazingira haya ukimsambazia Upendo ambaye anakutowa nyege zako.
 
Mhh,Mume sasa ingebidi ajue vizuri background ya mkewe kwa kweli

Katika mazingira kama haya,si kawaida sana kwa mwanamke kufanyiwa yoote hayo halafu bado anakua jeuri namna hiyo.Aidha background ya mkewe ina mashaka au si muaminifu.pia inawezekana mambo mengine kama mkewe katokea katika family inayoendekeza mila za ukeketaji pia,inaezekana alifanyiwa hivo akiwa mdogo

Pia inawezekana mkewe alificha rangi zake halisi.

Ila mshauri huyo jamaa asiseme sana nje hayo mambo ya ndoa yake coz ataishia hata kupoteza heshima yake kwa jamii,afanye hivyo tu kama kuna ulazima
Huyu ndo yule Ben sa Saba kasoro mbili..?
 
Dah, sometimes us women dont know that we force our men into the hands of changudoaz just like this.

Pole kaka, i understand your argony, lakini pia i cant judge that woman coz you never know may be aliwahi kubakwa huko nyuma ndo maana hana hamu ya ngono.

Nionavyo mimi kutakuwa na tatizo kubwa tu, lazima tukubali kuwa si watu wote wana high sexual drive, wengine sex is not important in life, lakini pia ukishaamua kuolewa unahitaji kumfikilia na mwenzio angala twice a week basi hata kama ni kwa kujilazimisha.
Hi!! Kwani mtu akibakwa anapoteza hamu ya tendo la ndoa kabisa?? Na kama ukitaka hamu irudi anafanyaje sasa au ndio tu basi tena??
 
Back
Top Bottom