mke akiwa ni HIV+ na mume ni -ve inakuwaje?

King'asti mimwenyewe sikuamini mpaka pale niliposhuhudia kwenye hospitali tofauti tofauti majibu yao ya hiv
 
Ujanja janja wangu mtandaoni unafyata kwa thread kama hii!!! So educative na natumaini ni very comforting kwa watu wenye kujikuta kwenye dilemma kama hizi. Naipatia rating ya 5 stars!!!

Steve Dii
 
my dear, mimi ni muamini and i believe in miracles. lakini kwa sababu naamini hata hii sayansi tunayoijua tumewezeshwa na Mungu, i prove miracles kisayansi pia. baada ya maombi and all that, wawili hao wahakikishwe kuwa hawana virusi ndipo waanze kujivinjari. ama sivyo Mungu ni wa kisasa kutuzidi, scientific evidence ni muhimu sana!

King'asti mimwenyewe sikuamini mpaka pale niliposhuhudia kwenye hospitali tofauti tofauti majibu yao ya hiv
 
rakeyescarl (na ww jina lako kama dawa jamani,mweeh!), vituo vya ushauri nasaha viko vingi sana. hata marie stopes clinics, hospitali zote za serikali na angaza. ukiulizia hospitali yoyote watakuelekeza palipo karibu. ni vizuri ukaenda nao wote wawili kwenye hospitali mbali kidogo na makazi ili kuhakikisha wanapata privacy wanayohitaji kabla ya kuikubali hali yao. kama anavyosema riwa, ni ngumu na inahitaji uelewa pia. zigo la mwenzio kanda la sufu, jifikirie kwenye viatu vyake! pole tena, ila kuwa imara kwa ajili yao

Riwa,
Unajua shida yetu waswahili tumesihakuwa kama watu wa Europe/US lakini hatujna facilities.
Mtu Fundi unakuata anakwenda kuongea na mgonjwa bila hata elimu tunakuja hapa tunakkusanya vi info na kummwaga mgonjwa.
Hapo kwenye red mbona naona kiuswahili ni ngumu labda akawaone hao wanaotoa nasaha-wako wapi?
 
ni suala gumu sana...lakini nadhani wakipata usaidizi/ushauri na namna ya kuishi ktk mazingira hayo, wanaweza endelea na maisha na kutunzana kwenye shida na raha
 
Back
Top Bottom