Mkazi wa Morogoro Mjini mwenye smartphone inayotoa picha nzuri, nakupa 12,000 unipigie picha Unitumie

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Kama Unaishi Morogoro mjini naomba msaada wako wa hali na mali.

Kuna tangazo la nyumba nimelipost Jana watu wengi wanunuzi wanahitaji Picha, lakini ubaya ni kwamba picha zinashindwa kupatikana kutokana na watu kukosa simu zenye ubora.


Naomba Kama unaishi Morogoro Mjini nisaidie kwenda Kupiga Picha hii nyumba nje, ndani, kulia ubavuni na nyuma.

Kisha unitumie Whatsapp, Nitakulipa 2000 nauli ya utokapo (nitakutumia kabla hujaenda) na ukishapiga Picha Usinitumie mpaka Nikutumie 10,000 iliyobaki ndipo unitumie Picha.

Kazi Hii itaisha nitakapopata tu Picha na huu uzi utakuwa mwisho ni kazi temporary tu sio ya siku zote.

Naomba Tuwasiliane kwa whatsapp/call/sms 0695697796
 
Ina maaana unauza nyumba Moro lakini we haupo Moro!

Pamoja na yote nakutakia mafanikio.
 
Mbona unataka watu wauponze yani nikapige picha tu nyumba siijui mwenyewe au nakutana na wenyeji ok goodluck
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom