Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
wataaalam wa sheria
Tumesikia tunaambiwa taifa etu halina wataalam wa kutosha wa kuwezesha
Serikali inapotaka kuingia mkataba na shirika au kampuni fulani mkataba huo unatakiwa
Tumesikia tunaambiwa taifa etu halina wataalam wa kutosha wa kuwezesha
- kuandika/ kunegtioate mikataba yenye manufaakwa tifa
- Tumeshuhuhua utata wa mikataba miubwa ya inayohuisha serikali kama ya Alex stewart, RICHMOND
Serikali inapotaka kuingia mkataba na shirika au kampuni fulani mkataba huo unatakiwa
- uweje? kama sample ipo tuwekewe
- Vigezo na vitu muhumu uwepo wenye mkataba
- Kuna kitengo cha mikataba kwenye ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali. Kina wataalam wangapi.?
- Zaidi ya mambo ya sheria ni mambo gani mengine yanazingatiwa kabla serikali haijaingia kwenye mkataba?
- ongeza mengine