Mkasi kipindi cha salama ushuzi mtupu

Status
Not open for further replies.

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
salama ajipange kwakweli kipindi chake ni ushuzi mtupu mimi hata sijaelewa alikuwa anaelezea nini, kapo kapo tu , simchukii ila namuambia ukweli kaanza vibaya

 
mwenyewe hicho kipind cjakipenda kabisa... Labda kitanoga huko mbeleni.. Maana salama huwa n mbunifu
 
lengo kubwa la hiki kipindi ni kuona umbea ambao huwa unaongelewa sehemu za salon, kwahiyo kama unapenda umbea thats your show, ila kama upo conscious huwezi sikiliza
 
salama ajipange kwakweli kipindi chake ni ushuzi mtupu mimi hata sijaelewa alikuwa anaelezea nini, kapo kapo tu , simchukii ila namuambia ukweli kaanza vibaya
..@red, Chonde chonde kama hukubaliani na jambo flani sio lazima utumie lugha isiyo ya kistaarabu kuwasilisha fikra zako binafsi hapa jamvini. Kama hukubaliani nae na hiko kipindi basi tuma maoni yako kwake moja kwa moja.
 
Haimanishi kama hukipendi wewe na wote wahakipendi, usiangalie angalie channel nyengine....
 
Tatizo mmeshamzoea salama akfanya vpindi vya burudani.Hivyo kubadilika kwake ndo mnaona kama kipindi kibaya kiukweli kipindi sio kibaya ila bado tu hatujamzoea yoo...
 
Mimi nilikipenda jinsi alivyokuwa anamhoji Irene kwa ujanja ujanja mpaka anatoa mambo ambayo huenda usingeyafahamu. Hakuana mtu ambaye amekamilka, tunajifunza kutoka kwa watu wengine ili tusinya makosa yaliyofanywa na wengine. Kumbuka lile swali alilomwuliza kama alishawahi kufanya map....zi bila kinga naye Irene akakubali. Hukujifunza kitu hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom