Katika Mhadhara unaoendelea UDSM juu ya mchango wa sanaa katika mustakabali wa nchi zinazoendelea,Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa amejikuta nje ya mada.Mhadhara huo ulioandaliwa na Kigoda cha Mwalimu Nyerere-Sanaa cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Mkapa aliacha mada na kuanza kuzungumzia siasa kama afanyavyo Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Yusuph Makamba.Makamba huzungumzia siasa popote na kwa yeyote,kwenye jambo lolote.
Mkapa alijikita zaidi kwenye kuzungumzia siasa kwa kurusha vijembe kwa upinzani badala ya kubaki kwenye mada.Mkapa,kwanini lakini?!

Anadai eti walibinafisha mashirika zaidi ya 300 na uzuri wake mengi yalibinafisishwa kwa watanzania yeye akiwa mmoja wapo.anaida yeye anasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu kufanya vibaya kwa mshirika yaliyobinafisishwa na amewataka wanaohusika watoe taarifa kwa wananchi.
Mkapa ameuzungumzia hadi uchaguzi wa Arumeru Mashariki.Kuna wakati alisema:'wenzetu(akimaanisha wapinzani) wanakwepa kuhudhuria mihadhara kama hii.Wao wako busy na mikutano ya hadhara mikoani kujenga chama chao'
Katika Mhadhara unaoendelea UDSM juu ya mchango wa sanaa katika mustakabali wa nchi zinazoendelea,Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa amejikuta nje ya mada.Mhadhara huo ulioandaliwa na Kigoda cha Mwalimu Nyerere-Sanaa cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Mkapa aliacha mada na kuanza kuzungumzia siasa kama afanyavyo Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Yusuph Makamba.Makamba huzungumzia siasa popote na kwa yeyote,kwenye jambo lolote.
Mkapa alijikita zaidi kwenye kuzungumzia siasa kwa kurusha vijembe kwa upinzani badala ya kubaki kwenye mada.Mkapa,kwanini lakini?!
Watz tulivyo mabweghe, tuliambiwa na kikwete mchafu tumuache mkapa mchafu apumzike. Ni vipi kipofu akamuongoza kipofu mwenzie?
"mkapa mvivu wa kufikiri"