VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Katika Mhadhara unaoendelea UDSM juu ya mchango wa sanaa katika mustakabali wa nchi zinazoendelea,Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa amejikuta nje ya mada.Mhadhara huo ulioandaliwa na Kigoda cha Mwalimu Nyerere-Sanaa cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Mkapa aliacha mada na kuanza kuzungumzia siasa kama afanyavyo Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Yusuph Makamba.Makamba huzungumzia siasa popote na kwa yeyote,kwenye jambo lolote.
Mkapa alijikita zaidi kwenye kuzungumzia siasa kwa kurusha vijembe kwa upinzani badala ya kubaki kwenye mada.Mkapa,kwanini lakini?!
Mkapa alijikita zaidi kwenye kuzungumzia siasa kwa kurusha vijembe kwa upinzani badala ya kubaki kwenye mada.Mkapa,kwanini lakini?!