Mkapa appointed to UNCTAD eminent persons panel

Well Yeye alikuwa Mtendaji; hata kama wizi ulikuwepo angalau tuliona Maendeleo kidogo...

Serikali yoyote inayotawala nchi huiba lakini nyingi huiba na kuonyesha pia Maendeleo that's why everyone wants 2 go to politics... You earn something...

Baba Mwinyi Serikali yake Iliiba hatukuona Maendeleo yoyote

Kaka Kikwete anaiba tutaona maendeleo? na hata akimaliza muda wake dunia itamkumbatia kama wanavyomkumbatia Mkapa; Mkapa amekuwa Sudan, Uswisi kwa shughuli za kidunia ina maana ana quality ...
 
Busara na Hekima za Mkapa tunazihitaji sana katika kuboresha uchumi wa nchi yetu, tungependa pia kusikia yupo kwenye jopo la kushauri namna ya kuboresha uchumi wa Tanzania na njia zipi anazopendekeza
 
Well Yeye alikuwa Mtendaji; hata kama wizi ulikuwepo angalau tuliona Maendeleo kidogo...

Serikali yoyote inayotawala nchi huiba lakini nyingi huiba na kuonyesha pia Maendeleo that's why everyone wants 2 go to politics... You earn something...

Baba Mwinyi Serikali yake Iliiba hatukuona Maendeleo yoyote

Kaka Kikwete anaiba tutaona maendeleo? na hata akimaliza muda wake dunia itamkumbatia kama wanavyomkumbatia Mkapa; Mkapa amekuwa Sudan, Uswisi kwa shughuli za kidunia ina maana ana quality ...

Worried and terrified if Tanzanians are unable to reason and/or comprehend the systemic failures evolving from the same political party leadership.
Take it from me, with the exception of Nyerere, there have been no political leaders (state men) but civil servants from CCM worth the presidency.:pound:
 
Back
Top Bottom