OkayHuyu mwamba amefanya mengi katika tasnia (kubwa Ni kutafsiri movies toka lugha yoyote Ile kwenda Kiswahili. Anastahili tuzo ikiwemo Honorary doctorate na HESHIMA hata kama kashafariki).
HakikaAlikua chachu sn kuufurahia ulimwengu wa movie
Alifariki mwaka 2015Natumai Yuko hai
PHD ya Heshima naunga hojaHuyu mwamba amefanya mengi katika tasnia (kubwa Ni kutafsiri movies toka lugha yoyote Ile kwenda Kiswahili. Anastahili tuzo ikiwemo Honorary doctorate na HESHIMA hata kama kashafariki).
Dj mafii maza Fanta niliachaga kununua zilizotafsiriwa aisee ni makelele tuHuyo jamaa hata mimi namheshimu sana, nimeinjoi huduma yake utotoni haswa ile namna yake ya kuiga sauti za wanaoongea wakiwemo wanawake. Baada ya kukua na kidogo kuielewa hii lugha ya malkia, nimekuja kugundua kuwa alikuwa mkweli mno katika masimulizi yake. Hata kama kuna vicomedy alikuwa anavifanya kwa kuongezea hili na lile lkn si kwa kuathiri maana halisi.
Aisee hawa kina dj macky waongo aisee......dah! Linaloongelewa na wanalolisema wao ni vitu viwili todauti kabisaaaa!!!!!!
Watafsiri wengine wakweli ni wale wa Kenya, nawasikia sana kupitia Rembo TV
Hakika Mkuu. Captain Derick G. Mkandala hana mfanowe kwenye hiyo tasnia. Anastahili kukumbukwa na kuenziwa!Alituburudisha sana hasa kwenye movies za kivita miaka ya 90
Niliona kipindi fulani watoto wake waliingilia kati , vile kitale alivyokuwa anaigiza sauti yake sijui kesi iliishia wapi.Hakika Mkuu. Captain Derick G. Mkandala hana mfanowe kwenye hiyo tasnia. Anastahili kukumbukwa na kuenziwa!
Umenikumbusha mbaliHuyu mwamba amefanya mengi katika tasnia (kubwa Ni kutafsiri movies toka lugha yoyote Ile kwenda Kiswahili. Anastahili tuzo ikiwemo Honorary doctorate na HESHIMA hata kama kashafariki).
wewe umezaliwa mwaka juzi hakuna kama rufufu na uncle msafiri lesi wa niger movies. Hawa waliobaki wengi wapiga krlele na waaribifu wa ubora wa moviesSijawai mwelewa labda kwa vile nimeona movie chache za kwake .Mostly ya movie nilizocheki ni za ma dj wa chuga akina ommy d , dj kuzi n.K