Mkandala Lufufu anastahili Honorary doctorate

Sijawai mwelewa labda kwa vile nimeona movie chache za kwake .Mostly ya movie nilizocheki ni za ma dj wa chuga akina ommy d , dj kuzi n.K
 
Huyo jamaa hata mimi namheshimu sana, nimeinjoi huduma yake utotoni haswa ile namna yake ya kuiga sauti za wanaoongea wakiwemo wanawake. Baada ya kukua na kidogo kuielewa hii lugha ya malkia, nimekuja kugundua kuwa alikuwa mkweli mno katika masimulizi yake. Hata kama kuna vicomedy alikuwa anavifanya kwa kuongezea hili na lile lkn si kwa kuathiri maana halisi.

Aisee hawa kina dj macky waongo aisee......dah! Linaloongelewa na wanalolisema wao ni vitu viwili todauti kabisaaaa!!!!!!

Watafsiri wengine wakweli ni wale wa Kenya, nawasikia sana kupitia Rembo TV
 
Dj mafii maza Fanta niliachaga kununua zilizotafsiriwa aisee ni makelele tu
 
Simjui. Kwetu kulikuwa hakuna TV, nimekulia Machungani. Kuchunga ng'ombe na mbuzi.

Kuja kukua, muda wa kuangalia movie sijaupata bado, majukumu yanabana.

Apewe tu.
 
Back
Top Bottom