Mkandala lione na hili basi,,

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
155
10
Baba mkandala najua una majukumu mazito yanayokufanya hata usipate muda wa kutulia na kukikagua chuo(UDSM), Nimeamua nitoe huu waraka wangu kwako ili uweze kuliona na hili. Kero yangu ni suala la wireless/net kwa ujumla hapa UDSM. Maana tangia semister hii ianze tatizo la kupata wireless/net hapa chuo limekuwa la taabu sana, hata ukiwa na cable yako binafsi ports nazo hazina kitu hivyo kufanya maisha ya digital kuwa magumu sana hapa chuoni. Tupia jicho na huku Mh. Mkandala. Nawasilisha kero!
 
Back
Top Bottom