Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

je una dalili gani zaidi? andika zaidi upate kueleweka! ni tovuni tu? ni vipelevipele au la! au umenenepa kitambi kinakutoka?:thinking:

ni hayo tu mkuu wala sina dalili nyingine ni mstari kabisa sio vipele, pia mi nina umbo la wastani sana sio mnene kihivyo na ni juu ya kitovu tu.
 
Poleni na majukumu wadau, nina kitu kinanisumbua akili yangu. Iko hivi: kwa muda wa karibia wiki mbili kuna mstari ulijitokeza juu ya kitovu, na unakua kila kunapokucha kukatiza kwenye tumbo. Je wataalamu huu ndio mwanzo wa kuwa na hili tatizo, au niondoe shaka juu ya hili?

duuu, pole sana mkuu, wahi VCT-unaweka ukafa kwa presha kumbe ni vitu vingine tu
 
Poleni na majukumu wadau, nina kitu kinanisumbua akili yangu. Iko hivi: kwa muda wa karibia wiki mbili kuna mstari ulijitokeza juu ya kitovu, na unakua kila kunapokucha kukatiza kwenye tumbo. Je wataalamu huu ndio mwanzo wa kuwa na hili tatizo, au niondoe shaka juu ya hili?

wahi hospitali ukadhibiti hali hiyo
 
Mkanda wa jeshi unatokea ghafla, ni vipele vidogo vidogo na unauma hatari. Inawezekana unapata ugonjwa wa ngozi, nenda ukatibiwe tu
 
Mkanda wa jeshi unaanzia juu mwilini mfno kuanzia began au kichwani,una ukiwa nao ni lazima utafanya km kubabua ngozi na panauma sn. Mkanda wa jeshi ni virus wanao-associate na HIV virus. Kwa hyo ishu yako huo co mkanda wa jeshi
 
Ndg ungekuwa mkanda wa jeshi ht usingekuwa na wazo la kuingia jf,manake maumivu yake ni lazima ungeenda tu hosp bila kuomba ushauri.Mkanda wa jeshi huwa ni vipele kama malengelenge hv ila vinauma sana.
 
Huo sio usiwe na wasiwasi kwa jinsi ya maelezo yako ya livyo au labda kama umeficha dalili hiyo. Hiyo itakuwa fangasi tu.
 
Jamani naomba msaada wa kitaalamu. mimi niliwahi kuumwa ugonjwa wa mkanda wa jeshi, lakini nilifanikiwa kupata matibabu hatimaye madonda yale yakapona. Lakini saizi lile eneo ambalo nilishikwa hayo madonda panakuwa kama vitu vinatembea kwa ndani harafu pana washa sana. Je wadau nitumie dawa gani. Naomba mnisaidie
 
nenda hospital mkuu upate vipimo zaidi then watakupa ushauri utumie dawa ipi. Pole saaaaaaan
 
Pole sana. Huwa mkanda unapiga kufuata Nerve aka mishipa ya fahamu. Hayo maumivu unayosikia ni maumivu ya neva za fahamu ndani huwa inachukua mda kupona kabisa na neva huwa ni vigumu kuripea.Nashauri tumia vitamini B kwa wingi hasa vidonge Neurobione ,au Neurotone changanya na Zincovit
 
Back
Top Bottom