Mjue fundi MASHUHURI wa Kushona VAZI rasmi la CHADEMA(CDM)

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Jana kuna wadau walihitaji kupata contacts za yule fundi anayeshona VAZI la CHADEMA (MAGWANDA).

bASI NAWALETEA MAWASILIANO YAKE ILI KWA YEYOTE ANAYEHITAJI AWEZE KUWASILIANA NAYE.

Yeye yuko Tunduma namba yake ya simu ni +255 754 649 025
Kwa yeyote anayehitaji kupata magwanda awasiliane naye kwa namba hiyo
Karibuni

 
safi sana, mimi naoda magwanda kibao nifunge duka langu niwauzie wana chadema wenzangu, watoto, vijana wake kwa waume. asante sana kwa info.

niko ki biashara zaidi ila mkeleketwa numberi moja wa mabadiliko katika nchi yetu - chadema hoyeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom