Mjengwablog Inachangisha Pole Ya Kumsaidia Mjane Wa Daud Mwangosi Kuendesha Bishara Ndogo...

This is perfect! I real like this. Ni utaratibu mzuri, nashindwa kuelezea. Uamuzi wa kumuwezesha aweze kuendesha maisha yake na wanae utamsaidia kuondokana na dhana ya kutegemea misaada midogo midogo ambayo haiwezi kudumu. Kimsingi nimefurahia sana jambo hili.
 
mjengwa waombe mode wau_sticky huu uzi ili wengi wauone na kumchangia mjane, kelele za Mwangosi via keyboard zimetosha.. sasa ni muda wa vitendo. Mkuu nakurushia mawe nikitoka mzigoni
 
kutoa ni moyo si utajiri, shime wana JF bila kujali blog, tuchangie kwa moyo: mods pleaseeeee muugandishe huu uzi.
 
1. Chris Cremence 100,000
2. Anonymous 500,000
3. Maggid Mjengwa 100,000
4. Raymond Kasoyaga 20,000
5.Edward Mgogo 10,000
6.Joachim Kiula 5,000
7.Libory Muhanga 5,000
8.Geofrey Kagaruki 10,000
9.Sadiki Mangesho 10,000
10. Edwin Namnauka 40,000
11.Daud Mbuba 10,000
12. Anonymous 200,000
13.Mikidadi Waziri 6,000
14. Bungaya Mayo 5,500
15. Abraham Siyovelwa 50,000
16. Godfrey Chongolo 22,222
17. Jacob Mwamwene 51,000
18. Denis Bwimbo 153,683
19. Zanzibar Ni Kwetu 150, 464
20.Felex Mpozemenya 10,000
21.Rweyendera Ngonge 11,000
22. Festo Temu 10,000
23. Azaria Mulinda 10,000
24.Khatibu Kolofete 5,000
25. John Bukuku 25,000
26. Abel 10,000
27. Hafidh Kido 10,000
28. George Mtandika 16,000
29. Shy-Rose Bhanji 200,000
30. Raymond Nkya 52,000
31. Maganga Sambo 10,000
32. Felix Mwakyembe 10,000
33. Abdul Diallo 5,000
34. Newton Kyando 20,000
35. Galanos Myinga 20,000
36. Anonymous ( 200 Euro) 497,000
37. Yasinta Ngonyani 50,000
38. Prosper/ Willy ( Japan) 314,000
39. Nuru Mkeremi 131,000
40. Anonymous 50,000
41. Josephine Mahimbo 50,000
42. Anonymous 150,000
43. Heladius Macha 30,000
44. Emma Malele 10,000
45. Anonymous 60,000
46. Hendry Mlay 35,000
47. Hosea Ngowi 10,000
48. Athuman Zuber 5,000
49. Hyancinth Komba 7,500
50. Edson Kihongole 11,500
51. Godfrey Emmanuel 20,500
52. Deus M 27,000
53.Sigisto Amon 10,000
54.Issa Kubonya 10,000
55. Richard Dalali 6,000
56.Fadhili Mtanga 20,000
57. Polycarp Ngowi 5,000
58. Salehe Mfaume 10,000
59. Deodatus Balile 20,000
60. Moses Ringo 15,000
61. Dr Rukoma 100,000
62. Mobhare Matinyi 100,000

Jumla: 3,379,964 ( Milioni Tatu Na Laki Tatu Na Sabini Na Tisa Elfu Na Mia Tisa Na Sitini Na Nne)

Michango zaidi bado inaendelea kutolewa. Mjengwablog itaendelea kupokea michango hiyo na kuikabidhi kwa mjane wa marehemu kama itakavyorekodiwa hapa. Hivyo, aliye dhamira ya kumsaidia mjane wa Marehemu bado anakaribishwa kutoa mchango wake. Mwisho wa kukusanya ni mwisho wa mwezi huu ( Septemba)

Unaweza kuchangia kwa kutumia; M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa, Tafadhali nijulishe kama utatuma kwa njia ya Western Union )

Background:
Ndugu zangu,
Daud Mwangosi ambaye pia alikuwa ' Mwanakijiji' mwenzetu hapa Mjengwablog hatunaye tena.
Nimemfahamu Daud Mwangosi tangu mwaka 2004 nilipofika Iringa. Tangu wakati huo, amekuwa akiinipa ushirikiano mkubwa kwenye kazi ya kutangaza shughuli za kijamii kwenye Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi. Ni kwa kupiga picha za televisheni na kurusha habari kwenda Channel Ten; Iwe ni kwenda naye Ilula au Njombe, Daud Mwangosi alikuwa tayari kila nilipomwomba aongozane nami kwa shughuli ya kijamii.

Mara nyingi nilimkuta Daud ofisini kwake ( Picha ya kwanza juu) akichapa kazi na huku mkewe akimsaidia kazi nyingine. Daud Mwangosi alikuwa mbunifu. Alikuwa ni mwenye kiu ya kujifunza mambo mapya kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano.

Najua Daud Mwangosi alikuwa na malengo ya kuendeleza shughuli zake za ujasiriamali. Mbali ya mambo mengine, alikuwa na Photocopy machine ya kumwongezea kipato ambayo iliharibika mwaka jana. Akawa na ndoto ya kuwa na studio ndogo ya kupiga picha za vipande ( Passport Size). Yote ni katika kumwongezea kipato kutunza familia yake.

Leo Daud Mwangosi hayuko nasi. Ameacha familia, mjane na watoto wanne; Itika Mwangosi ( Mjane) Nehemia Mwangosi ( 17) Kidato cha Nne Malangali Sekondari, Hetzgovina Mwangosi (12) Bathsheba Mwangosi (9) na Moria Mwangosi ( 2)
Namini Daud Mwangosi angependa shughuli alizokuwa akizifanya ziendelee na zije kuwasaidia watoto wake pia.

Jana na leo nimewasiliana na mjane wa marehemu Mwangosi ambaye bado yuko Tukuyu. Nikamwambia kuna ' Wanakijiji ' wa Mjengwablog walioguswa na msiba wa Mwangosi na wangependa kutoa pole yao imsaidie katika kupata mwanzo kutoka hapa alipo sasa. Mjane wa Mwangosi amefarijika sana kusikia habari hizo.

Kwa vile tayari ameahidiwa msaada wa kusomeshewa watoto. Msaada anaouhitaji kwa sasa ni kupata photocopy machine ( Used) na kodi ya pango la ofisi. Jumla yake kwa yote hayo mawili haitazidi shilingi za Kitanzania milioni mbili na laki mbili. Hivyo msaada anaouomba kwa wenye mapenzi mema ni shilingi 2, 200,000 ( Shilingi milioni mbili na laki mbili). Shughuli hizo zitamsaidia kujikimu.

Kutokana na hali aliyo nayo sasa, Mwenyekiti wenu napendekeza nichukue jukumu la kuratibu michango hiyo. Shime tushirikiane kufanikisha hili ili tumsitiri mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi.
Napendekeza ifikapo mwisho wa mwezi huu ( Septemba) tuwe tumefanikisha zoezi hili kwa yeyote aliye nacho, hata kama ni shilingi elfu tano, ni msaada mkubwa.

Mjengwablog bado tuna rekodi nzuri katika kuchangishana kuwasaidia wenye kuhitaji. Itakumbukwa, huko nyuma, kwa pamoja, tulifanikisha kukusanya michango ile ya watoto wa Somalia na kuikabidhi UNICEF, Dar es Salaam. Ni zaidi ya shilingi milioni mbili.
Tulifanikisha mchango wa kusaidia ukarabati wa maktaba ya Kijamii kijijini Mahango, Madibira. Zaidi ya shilingi milioni nne.
Sasa ni zamu ya kumchangia mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi. Kinachohitajika ni milioni mbili na laki mbili.
Naam, kutoa ni moyo, usambe ni utajiri.
Mwenyekiti wenu na familia yangu naanza kwa kuchangia shilingi laki moja.

Na kama kawaida, taarifa za waliochanga na kiasi kilichopatikana kitawekwa kwenye blogu kwa kila mmoja kuona.

Namna ya kuwasilisha michango: Tumia M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa)

Natanguliza Shukrani.

Maggid Mjengwa,
Iringa.
0788 111 765
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo

Nina wasiwasi kama kweli utazifikisha Maggid. Siku ya kuzipeleka ni vyema uende rafiki yangu na mwandishi wa habari hapo Iringa, Kamanda Clemence Sanga. Yeye angalau tunamwamini maana wewe huchelewi kuzipeleka kwa yule Polisi aliyelazwa Hospitalini baada ya kulipuliwa na bomu na Mwenzake..
 
Mbona hayo majina siyo ya Watanzania?

Mwisho wa siku mrithi atatoka CDM waliopanga mauaji ya Mumewe.
 
Nina wasiwasi kama kweli utazifikisha Maggid. Siku ya kuzipeleka ni vyema uende rafiki yangu na mwandishi wa habari hapo Iringa, Kamanda Clemence Sanga. Yeye angalau tunamwamini maana wewe huchelewi kuzipeleka kwa yule Polisi aliyelazwa Hospitalini baada ya kulipuliwa na bomu na Mwenzake..
Teh teh teh, nicheke mie Jamaa limeorodhesha accounts za JF eti ndo wachangiaji, amesahau kwamba wana JF wengi ni walalahoi, nyumbani kula kulaa? aweke account ya huyo mama, labda nitashawishika tena aende kwenye media.
 
1. Chris Cremence 100,000
2. Anonymous 500,000
3. Maggid Mjengwa 100,000
4. Raymond Kasoyaga 20,000
5.Edward Mgogo 10,000
6.Joachim Kiula 5,000
7.Libory Muhanga 5,000
8.Geofrey Kagaruki 10,000
9.Sadiki Mangesho 10,000
10. Edwin Namnauka 40,000
11.Daud Mbuba 10,000
12. Anonymous 200,000
13.Mikidadi Waziri 6,000
14. Bungaya Mayo 5,500
15. Abraham Siyovelwa 50,000
16. Godfrey Chongolo 22,222
17. Jacob Mwamwene 51,000
18. Denis Bwimbo 153,683
19. Zanzibar Ni Kwetu 150, 464
20.Felex Mpozemenya 10,000
21.Rweyendera Ngonge 11,000
22. Festo Temu 10,000
23. Azaria Mulinda 10,000
24.Khatibu Kolofete 5,000
25. John Bukuku 25,000
26. Abel 10,000
27. Hafidh Kido 10,000
28. George Mtandika 16,000
29. Shy-Rose Bhanji 200,000
30. Raymond Nkya 52,000
31. Maganga Sambo 10,000
32. Felix Mwakyembe 10,000
33. Abdul Diallo 5,000
34. Newton Kyando 20,000
35. Galanos Myinga 20,000
36. Anonymous ( 200 Euro) 497,000
37. Yasinta Ngonyani 50,000
38. Prosper/ Willy ( Japan) 314,000
39. Nuru Mkeremi 131,000
40. Anonymous 50,000
41. Josephine Mahimbo 50,000
42. Anonymous 150,000
43. Heladius Macha 30,000
44. Emma Malele 10,000
45. Anonymous 60,000
46. Hendry Mlay 35,000
47. Hosea Ngowi 10,000
48. Athuman Zuber 5,000
49. Hyancinth Komba 7,500
50. Edson Kihongole 11,500
51. Godfrey Emmanuel 20,500
52. Deus M 27,000
53.Sigisto Amon 10,000
54.Issa Kubonya 10,000
55. Richard Dalali 6,000
56.Fadhili Mtanga 20,000
57. Polycarp Ngowi 5,000
58. Salehe Mfaume 10,000
59. Deodatus Balile 20,000
60. Moses Ringo 15,000
61. Dr Rukoma 100,000
62. Mobhare Matinyi 100,000
63. Humphrey Simba 16,000
64. Fredrick Kyambile 10,000
65.John Mwakyusa 20,000
66. Abdul Njaidi 40,000
67. Fidelis Francis 10,000
68.Mutachumwa Mukandala 10,000
69. Augustino Lukosi 12,500
70. Goodluck Arobogast 20,000
71. Lusajo Mwasaga 15,000
72. Carolina Reynolds 5,500
73. Rugenamu Kawa 30,000
74. Innocent Kimario 5,000
75. Chadema UK 1,000,000

Jumla: 4,559,000 ( Milioni Nne Na Laki Tano Na Hamsini Na Tisa Elfu)

Michango zaidi bado inaendelea kutolewa. Mjengwablog itaendelea kupokea michango hiyo na kuikabidhi kwa mjane wa marehemu kama itakavyorekodiwa hapa. Hivyo, aliye dhamira ya kumsaidia mjane wa Marehemu bado anakaribishwa kutoa mchango wake. Mwisho wa kukusanya ni mwisho wa mwezi huu ( Septemba)
Unaweza kuchangia kwa kutumia; M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa, Tafadhali nijulishe kama utatuma kwa njia ya Western Union )

Background:
Ndugu zangu,
Daud Mwangosi ambaye pia alikuwa ' Mwanakijiji' mwenzetu hapa Mjengwablog hatunaye tena.
Nimemfahamu Daud Mwangosi tangu mwaka 2004 nilipofika Iringa. Tangu wakati huo, amekuwa akiinipa ushirikiano mkubwa kwenye kazi ya kutangaza shughuli za kijamii kwenye Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi. Ni kwa kupiga picha za televisheni na kurusha habari kwenda Channel Ten; Iwe ni kwenda naye Ilula au Njombe, Daud Mwangosi alikuwa tayari kila nilipomwomba aongozane nami kwa shughuli ya kijamii.
Mara nyingi nilimkuta Daud ofisini kwake ( Picha ya kwanza juu) akichapa kazi na huku mkewe akimsaidia kazi nyingine. Daud Mwangosi alikuwa mbunifu. Alikuwa ni mwenye kiu ya kujifunza mambo mapya kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano.
Najua Daud Mwangosi alikuwa na malengo ya kuendeleza shughuli zake za ujasiriamali. Mbali ya mambo mengine, alikuwa na Photocopy machine ya kumwongezea kipato ambayo iliharibika mwaka jana. Akawa na ndoto ya kuwa na studio ndogo ya kupiga picha za vipande ( Passport Size). Yote ni katika kumwongezea kipato kutunza familia yake.
Leo Daud Mwangosi hayuko nasi. Ameacha familia, mjane na watoto wanne; Itika Mwangosi ( Mjane) Nehemia Mwangosi ( 17) Kidato cha Nne Malangali Sekondari, Hetzgovina Mwangosi (12) Bathsheba Mwangosi (9) na Moria Mwangosi ( 2)
Namini Daud Mwangosi angependa shughuli alizokuwa akizifanya ziendelee na zije kuwasaidia watoto wake pia.
Jana na leo nimewasiliana na mjane wa marehemu Mwangosi ambaye bado yuko Tukuyu. Nikamwambia kuna ' Wanakijiji ' wa Mjengwablog walioguswa na msiba wa Mwangosi na wangependa kutoa pole yao imsaidie katika kupata mwanzo kutoka hapa alipo sasa. Mjane wa Mwangosi amefarijika sana kusikia habari hizo.
Kwa vile tayari ameahidiwa msaada wa kusomeshewa watoto. Msaada anaouhitaji kwa sasa ni kupata photocopy machine ( Used) na kodi ya pango la ofisi. Jumla yake kwa yote hayo mawili haitazidi shilingi za Kitanzania milioni mbili na laki mbili. Hivyo msaada anaouomba kwa wenye mapenzi mema ni shilingi 2, 200,000 ( Shilingi milioni mbili na laki mbili). Shughuli hizo zitamsaidia kujikimu.
Kutokana na hali aliyo nayo sasa, Mwenyekiti wenu napendekeza nichukue jukumu la kuratibu michango hiyo. Shime tushirikiane kufanikisha hili ili tumsitiri mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi.
Napendekeza ifikapo mwisho wa mwezi huu ( Septemba) tuwe tumefanikisha zoezi hili kwa yeyote aliye nacho, hata kama ni shilingi elfu tano, ni msaada mkubwa.
Mjengwablog bado tuna rekodi nzuri katika kuchangishana kuwasaidia wenye kuhitaji. Itakumbukwa, huko nyuma, kwa pamoja, tulifanikisha kukusanya michango ile ya watoto wa Somalia na kuikabidhi UNICEF, Dar es Salaam. Ni zaidi ya shilingi milioni mbili.
Tulifanikisha mchango wa kusaidia ukarabati wa maktaba ya Kijamii kijijini Mahango, Madibira. Zaidi ya shilingi milioni nne.
Sasa ni zamu ya kumchangia mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi. Kinachohitajika ni milioni mbili na laki mbili.
Naam, kutoa ni moyo, usambe ni utajiri.
Mwenyekiti wenu na familia yangu naanza kwa kuchangia shilingi laki moja.
Na kama kawaida, taarifa za waliochanga na kiasi kilichopatikana kitawekwa kwenye blogu kwa kila mmoja kuona.
Namna ya kuwasilisha michango: Tumia M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa)
Natanguliza Shukrani.
Maggid Mjengwa,
Iringa.
0788 111 765
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
 
kwa kweli hapa pana mengi huenda yanakusudiwa.

kwa mtazamo wangu huenda pia inataka kuoneshwa jinsi gani wengi wetu wanavyojidai wameguswa sana na mauaji haya kwa maneno, lkn linapokuja suali zima la kusaidia kimali wala hawako tayari.

wengi wamesema na wanaendelea kusema kua mjengwa Mnafiki, msaliti na mengineyo. suali linabaki jee ww usie mnafiki na msaliti umetenda nn kwa waaathirika?
 
Nimesisimka. Walio nje ya nchi tupeni details kama complete eletronic money transfer details. R.I. P Mwangosi
 
Hapo ndipo utaona maana na hekima ya biblia.inasemwa imani bila matendo imekufa.watu wote waliosmart kumtukana maggid humu kuwa mnafiki wangejitokeza kuchangia ungeona hela zikiwa nyingi.sasa nyie msio wanafiki mbona hatuoni mkichangia?au mnasubiri mchango uitishwe na mtu asiye mnafiki? acheni unafiki nyie mafarisayo,mnachuja nzi mnakunywa ngamia.Na post hii najua kwa hakika Mods wataiondoa.hawataki habari za kumchangia mjane na familia,ila wanataka tupige siasaaaaa,wapate wanajamvi wengi.
 
Tunakushukuru sana Maggid.........Mwenyezi Mungu atakulipa......

RIP Mwangosi
 
Hapo ndipo utaona maana na hekima ya biblia.inasemwa imani bila matendo imekufa.watu wote waliosmart kumtukana maggid humu kuwa mnafiki wangejitokeza kuchangia ungeona hela zikiwa nyingi.sasa nyie msio wanafiki mbona hatuoni mkichangia?au mnasubiri mchango uitishwe na mtu asiye mnafiki? acheni unafiki nyie mafarisayo,mnachuja nzi mnakunywa ngamia.Na post hii najua kwa hakika Mods wataiondoa.hawataki habari za kumchangia mjane na familia,ila wanataka tupige siasaaaaa,wapate wanajamvi wengi.

Kwahiyo kipimo cha imani ni michango? Really!
 
jaribu kuelewa walau vitu vya kawaida kipimo cha imani ni matendo,na kuchangia mwenye uhitaji ni moja wapo ya tendo jema
 
1. Chris Cremence 100,000
2. Anonymous 500,000
3. Maggid Mjengwa 100,000
4. Raymond Kasoyaga 20,000
5.Edward Mgogo 10,000
6.Joachim Kiula 5,000
7.Libory Muhanga 5,000
8.Geofrey Kagaruki 10,000
9.Sadiki Mangesho 10,000
10. Edwin Namnauka 40,000
11.Daud Mbuba 10,000
12. Anonymous 200,000
13.Mikidadi Waziri 6,000
14. Bungaya Mayo 5,500
15. Abraham Siyovelwa 50,000
16. Godfrey Chongolo 22,222
17. Jacob Mwamwene 51,000
18. Denis Bwimbo 153,683
19. Zanzibar Ni Kwetu 150, 464
20.Felex Mpozemenya 10,000
21.Rweyendera Ngonge 11,000
22. Festo Temu 10,000
23. Azaria Mulinda 10,000
24.Khatibu Kolofete 5,000
25. John Bukuku 25,000
26. Abel 10,000
27. Hafidh Kido 10,000
28. George Mtandika 16,000
29. Shy-Rose Bhanji 200,000
30. Raymond Nkya 52,000
31. Maganga Sambo 10,000
32. Felix Mwakyembe 10,000
33. Abdul Diallo 5,000
34. Newton Kyando 20,000
35. Galanos Myinga 20,000
36. Anonymous ( 200 Euro) 497,000
37. Yasinta Ngonyani 50,000
38. Prosper/ Willy ( Japan) 314,000
39. Nuru Mkeremi 131,000
40. Anonymous 50,000
41. Josephine Mahimbo 50,000
42. Anonymous 150,000
43. Heladius Macha 30,000
44. Emma Malele 10,000
45. Anonymous 60,000
46. Hendry Mlay 35,000
47. Hosea Ngowi 10,000
48. Athuman Zuber 5,000
49. Hyancinth Komba 7,500
50. Edson Kihongole 11,500
51. Godfrey Emmanuel 20,500
52. Deus M 27,000
53.Sigisto Amon 10,000
54.Issa Kubonya 10,000
55. Richard Dalali 6,000
56.Fadhili Mtanga 20,000
57. Polycarp Ngowi 5,000
58. Salehe Mfaume 10,000
59. Deodatus Balile 20,000
60. Moses Ringo 15,000
61. Dr Rukoma 100,000
62. Mobhare Matinyi 100,000
63. Humphrey Simba 16,000
64. Fredrick Kyambile 10,000
65.John Mwakyusa 20,000
66. Abdul Njaidi 40,000
67. Fidelis Francis 10,000
68.Mutachumwa Mukandala 10,000
69. Augustino Lukosi 12,500
70. Goodluck Arobogast 20,000
71. Lusajo Mwasaga 15,000
72. Carolina Reynolds 5,500
73. Rugenamu Kawa 30,000
74. Innocent Kimario 5,000
75. Jumuiya Ya Watanzania UK 1,000,000
76. Josephat Mwagala 150,000
77. Sara Mawere 5,000
78. Deograsias Hyasini 15,000
79. Godliver Simba 10,000
80. Said Kambi 20,000
81. Cassian Mayega 10,000
82. Mary Glad 5,000
83. David V 153,000
84. Anonymous 100,000

Jumla: 5,017,000 ( Milioni Tano Na Kumi Na Saba Elfu )

Michango zaidi bado inaendelea kutolewa. Mjengwablog itaendelea kupokea michango hiyo na kuikabidhi kwa mjane wa marehemu kama itakavyorekodiwa hapa. Hivyo, aliye dhamira ya kumsaidia mjane wa Marehemu bado anakaribishwa kutoa mchango wake. Mwisho wa kukusanya ni mwisho wa mwezi huu ( Septemba)

Unaweza kuchangia kwa kutumia; M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa, Tafadhali nijulishe kama utatuma kwa njia ya Western Union )

Background:
Ndugu zangu,
Daud Mwangosi ambaye pia alikuwa ' Mwanakijiji' mwenzetu hapa Mjengwablog hatunaye tena.
Nimemfahamu Daud Mwangosi tangu mwaka 2004 nilipofika Iringa. Tangu wakati huo, amekuwa akiinipa ushirikiano mkubwa kwenye kazi ya kutangaza shughuli za kijamii kwenye Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi. Ni kwa kupiga picha za televisheni na kurusha habari kwenda Channel Ten; Iwe ni kwenda naye Ilula au Njombe, Daud Mwangosi alikuwa tayari kila nilipomwomba aongozane nami kwa shughuli ya kijamii.

Mara nyingi nilimkuta Daud ofisini kwake ( Picha ya kwanza juu) akichapa kazi na huku mkewe akimsaidia kazi nyingine. Daud Mwangosi alikuwa mbunifu. Alikuwa ni mwenye kiu ya kujifunza mambo mapya kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano.

Najua Daud Mwangosi alikuwa na malengo ya kuendeleza shughuli zake za ujasiriamali. Mbali ya mambo mengine, alikuwa na Photocopy machine ya kumwongezea kipato ambayo iliharibika mwaka jana. Akawa na ndoto ya kuwa na studio ndogo ya kupiga picha za vipande ( Passport Size). Yote ni katika kumwongezea kipato kutunza familia yake.

Leo Daud Mwangosi hayuko nasi. Ameacha familia, mjane na watoto wanne; Itika Mwangosi ( Mjane) Nehemia Mwangosi ( 17) Kidato cha Nne Malangali Sekondari, Hetzgovina Mwangosi (12) Bathsheba Mwangosi (9) na Moria Mwangosi ( 2)
Namini Daud Mwangosi angependa shughuli alizokuwa akizifanya ziendelee na zije kuwasaidia watoto wake pia.

Jana na leo nimewasiliana na mjane wa marehemu Mwangosi ambaye bado yuko Tukuyu. Nikamwambia kuna ' Wanakijiji ' wa Mjengwablog walioguswa na msiba wa Mwangosi na wangependa kutoa pole yao imsaidie katika kupata mwanzo kutoka hapa alipo sasa. Mjane wa Mwangosi amefarijika sana kusikia habari hizo.

Kwa vile tayari ameahidiwa msaada wa kusomeshewa watoto. Msaada anaouhitaji kwa sasa ni kupata photocopy machine ( Used) na kodi ya pango la ofisi. Jumla yake kwa yote hayo mawili haitazidi shilingi za Kitanzania milioni mbili na laki mbili. Hivyo msaada anaouomba kwa wenye mapenzi mema ni shilingi 2, 200,000 ( Shilingi milioni mbili na laki mbili). Shughuli hizo zitamsaidia kujikimu.

Kutokana na hali aliyo nayo sasa, Mwenyekiti wenu napendekeza nichukue jukumu la kuratibu michango hiyo. Shime tushirikiane kufanikisha hili ili tumsitiri mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi.
Napendekeza ifikapo mwisho wa mwezi huu ( Septemba) tuwe tumefanikisha zoezi hili kwa yeyote aliye nacho, hata kama ni shilingi elfu tano, ni msaada mkubwa.

Mjengwablog bado tuna rekodi nzuri katika kuchangishana kuwasaidia wenye kuhitaji. Itakumbukwa, huko nyuma, kwa pamoja, tulifanikisha kukusanya michango ile ya watoto wa Somalia na kuikabidhi UNICEF, Dar es Salaam. Ni zaidi ya shilingi milioni mbili.
Tulifanikisha mchango wa kusaidia ukarabati wa maktaba ya Kijamii kijijini Mahango, Madibira. Zaidi ya shilingi milioni nne.
Sasa ni zamu ya kumchangia mjane wa mwenzetu Daud Mwangosi. Kinachohitajika ni milioni mbili na laki mbili.
Naam, kutoa ni moyo, usambe ni utajiri.
Mwenyekiti wenu na familia yangu naanza kwa kuchangia shilingi laki moja.
Na kama kawaida, taarifa za waliochanga na kiasi kilichopatikana kitawekwa kwenye blogu kwa kila mmoja kuona.

Natanguliza Shukrani.

Maggid Mjengwa,
Iringa.
0788 111 765
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo

Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
 
CDM sio chanzo. Polisi ndio walioanza fujo na ndio walio ua!! Hujaona ushahidi ambao uko wazi!!! Video na picha zimetuonyesha nani alikuwa na kosa siku hiyo. Hata hiyo tume a.k.a kamati sijui inafanya nini wakati suala zima liko wazi.
cdm wangetoa hata milioni **** sababu wao ndio chanzo
 
Ndugu zangu,
Wengi wameendelea kuitikia wito wa kumchangia mjane wa marehemu mwandishi Daud Mwangosi .

Imeanza pia kujitokeza michango ya kijumuiya. Ni jambo jema sana. Hata hivyo, ili kuepuka kuchanganya siasa kwenye suala hili la kijamii na la kibinadamu katika kumsaidia mjane wa marehemu, kama mratibu wa harambee hii, napendekeza kuanzia sasa wale wote watakaochangishana kijumuiya, hususan za kiitikadi, basi, michango yao iwakilishwe hapa kama michango ya kutoka Jumuiya za Watanzania, popote pale walipo hapa duniani.

Natumia fursa hii pia, kwa kutambua kuwa kuna jumuiya mbali mbali za Watanzania, na za marafiki wa Tanzania kwenye karibu kila kona ya dunia hii, kuwaomba wenyeviti wa jumuiya hizo kukusanya japo michango midogo kwa Wanajumuiya wenzao, iwe Watanzania au marafiki wa Tanzania, walio na utayari wa kuchangia hata kiasi kidogo tu cha pesa kwa mjane wa marehemu.

Michango hiyo inaweza kuwasilishwa kwangu kwa njia zifuatazo; M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa, Tafadhali nijulishe kama utatuma kwa njia ya Western Union )

Natanguliza shukran,

Maggid Mjengwa.
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
 
  • Thanks
Reactions: MTK
"kuanzia sasa wale wote watakaochangishana kijumuiya, hususan za kiitikadi, basi, michango yao iwakilishwe hapa kama michango ya kutoka Jumuiya za Watanzania,popote walipo Diniani"

[/FONT] Michango hiyo inaweza kuwasilishwa kwangu kwa njia zifuatazo; M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid Mjengwa, Tafadhali nijulishe kama utatuma kwa njia ya Western Union )

Natanguliza shukran,

Maggid Mjengwa.
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
[/QUOTE]

Noted.
 
Back
Top Bottom