MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Mimi sijakataa ushahidi wa kiimani. Hakuna hata sehemu moja nilokataa

Ninachokataa ni mdomo mtupu, watu kusingizia dini zinasema bila ya kutupa ushahidi.

Gimme ushahidi wa kiimani and I will be satisfied even if I might still not believe it.

I want to understand the grounds behind the notion that all women have demons.

Hapo naanza kuulewa mjadala!!
 
kwa iyo dark-city kwa hiyo unataka kusemaje?...:

kwamba wanawake kwa asili ni mapepo?...majini?...mashetani?...

halaf kwa nin wana 'hofu kubwa' ya mwenyezi mungu?
 
kwa iyo dark-city kwa hiyo unataka kusemaje?...:

kwamba wanawake kwa asili ni mapepo?...majini?...mashetani?...

halaf kwa nin wana 'hofu kubwa' ya mwenyezi mungu?

Pepo atakuwaje na hofu ya Mungu? :]
 
DC

Sikujua ka'a Kiswahili kinakupa tabu, shurti Kiingereza!

Unajua nilijaribu kufuatilia (bila kujali lugha iliyotumika) na kushindwa kuelewa nini kinatafutwa!!

Kumbe labda ni kuondoa neno ALL na kuweka SOME.....

Hebu jaribu kwanza halafu unijuvye!
 
kwa iyo dark-city kwa hiyo unataka kusemaje?...:

kwamba wanawake kwa asili ni mapepo?...majini?...mashetani?...

halaf kwa nin wana 'hofu kubwa' ya mwenyezi mungu?

Bro,

DC hajawahi kuwa na msemaji wa ikulu yake au popote anapokuwa!!

Wewe leo una lako jambo...Lieleze ili tuchangie wakati tukijua yalokusibu!!

Hujambo lakini?
 
Bro,

DC hajawahi kuwa na msemaji wa ikulu yake au popote anapokuwa!!

Wewe leo una lako jambo...Lieleze ili tuchangie wakati tukijua yalokusibu!!

Hujambo lakini?

mkuu....!

nimeikuta hii hali huku ninakoishi.....

sasa kwa muda mrefu kidogo nimejaribu kufuatilia nikagundua ni almost wanawake wengi sana wana tatizo kubwa la kuwa na uhusiano wa karibu na nguvu za giza...!

lakini pia ninapata shida sana kujaribu kujisahaulisha kufikiria uhusiano wa urembo wa mikufu pete vito vya thamani vya dhahabu na aina zote za urembo pamoja na pafyumu na hawa viumbe ''wanawake''....na majini....!

manake hata zile taswira za kufikirika za majini zinakuwa na marembo mengi sana

sijui...
 
Gaijin,
Kwa muktadha wetu ule nadhani hizo blue hazina neno kwa upande wako au?

Hapo red....Naamini hutakubali hata kwa kuimbiwa pambio continuously for 72 hrs!!

Mtazamo wangu kwenye majini na mapepo haupo kabisa......Nasikiaga tu kwamba hivyo vitu vipoa.

Sidhani kama nitajitendea haki kuvijadili!

Babu DC!
 
Teamo,
Sawa mdogo wangu,

Inaonekana hata hujatueleza kilichokusibu Sasa tukusaidieje?

Au unataka tuseme kuwa ni kweli wana mapepo?

Au unataka tupige kura?

Mie sitapiga kura wala sitasema kama wanayo au la kwa sababu sijui!
 
Dark City,
Mimi nina matatizo na dhana zote tatu. Lakini najaribu kujadili mbili.

Moja: Wanawake wengi kuliko wanaume wana mapepo
Mbili: Wanawake wote wana mapepo

Kwanza ushahidi wa kuwa wanawake (sehemu au wote) wana mapepo kuliko wanaume ni upi?

Tunajuaje kama si ugonjwa tu mwengine unaosababishwa na labda depression au vitu vyengine?

Na kama ushahidi ni kutoka kwenye maandiko ya kiimani, naomba hayo maandiko tuyajadili. Bila ya kupewa maandiko husika tutaamini vipi kuwa dini zinasema hivyo na sio uzushi?

Hadi muda huu sijapata jibu

Hapo pa red......hahahahahaha na wakaniogeshe mtoni mara saba wa sabini na bado sitakubali kamwe, lakini nitawaelewa kwa nini wanaamini hivyo angalau
 
Kwa muktadha wetu ule nadhani hizo blue hazina neno kwa upande wako au??Hapo red....Naamini hutakubali hata kwa kuimbiwa pambio continuously for 72 hrs!!Mtazamo wangu kwenye majini na mapepo haupo kabisa......Nasikiaga tu kwamba hivyo vitu vipoa.Sidhani kama nitajitendea haki kuvijadili!Babu DC!
ha ha ha ha!...daak site bana.....nguvu za giza zipo tu...unataka au hutaki...na ndo maana upande wa pili wa shilingi tunaamini uwepo wa mungu...ni ukweli mchungu lakini no way....lazima tuukubali
 
ha ha ha ha!...daak site bana.....nguvu za giza zipo tu...unataka au hutaki...na ndo maana upande wa pili wa shilingi tunaamini uwepo wa mungu...ni ukweli mchungu lakini no way....lazima tuukubali

Ni kweli kuwa dark city ipo physically mahali fulani kwenye hii dunia....hata GPS coordinate zake tunaweza kuzipata kirahisii.

Hayo mambo mengine tuendelee tu kuyasikia!
 
kwa iyo gaijin unataka kusemaje sasa....?

kwamba unabisha mpaka utakapopata ushahidi sivyo?...
 
kwa iyo gaijin unataka kusemaje sasa....?

kwamba unabisha mpaka utakapopata ushahidi sivyo?...

Nabisha outright kuwa wanawake wote wanamapepo

Nabisha kuwa wanawake wengi wana mapepo kuliko wanaume hadi walau nipate kithibitisho cha maandiko ya dini.
 
Nabisha outright kuwa wanawake wote wanamapepo

Nabisha kuwa wanawake wengi wana mapepo kuliko wanaume hadi walau nipate kithibitisho cha maandiko ya dini.

sasa kwa mantiki hiyo utashinda....!kwa kuwa tu umeamua kuwa conservative na hayo maandiko...

lakini pia ninashauri ufanye tafiti zako zitakazopelekea wewe kupata practical findings na practical examples....utapata majibu...labda uwe umeamua kubisha tu ndugu yangu
 
Back
Top Bottom