TELLO
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 234
- 409
Jinsia gani huyo
Majini ni nini?
Ni rahis mwanamke kuaminika na kusikilizwa na mtu au jamii yote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wengi wao ni hawa kina Mwajuma na Aisha.MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU:
Salaam wakuu wangu!
It's been long time since i posted a thread herein lakini haina mbaya kiviile manake makamanda mnawakilisha kama ilivyo ada!
STRAIGHT TO THE TOPIC:
Nimeangalia sana kwa uchunguzi wangu wa muda mrefu nikagundua kuwa:
1) Asilimia kubwa sana ya wanawake wanaandamwa na majini/mashetani/mizimu/mapepo....! Hii nimeifuatilia sana kuanzia makanisani, misikitini, hadi uraiani kwenye maisha ya kawaida ya kiswazi.
2) Wanawake ndo watu pekee wenye hofu ya mwenyezi Mungu..(makanisani wamejaa wao, misikitini, mikutano ya injili, jumuiya ndogondogo n.k)
Sasa mi nashindwa kuelewa wala kuziunganisha hizo hoja mbili hapo juu..
Mnisaidie wakuu!
ANGALIZO: Sina nia yoyote ya kuwa-humiliate wanawake
=====
BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU:
===
===
===
===
Mkuu wewe utakuwa Muislamu, mafundisho yenu kuhusu majinia na mapepo ni tofauti kabisa na ukristoBado jibu langu halitakuwa tofauti lakini naomba kwanza kukuondolea shaka juu ya kubaki kwa fumbo la Imani.
Kila mtu awe dada au kaka kama ana pepo mara nyingi huanguka chini,kisha pepo humtoka. Swala la wadada wengi kuanguka ni kwa sababu wanatumia vitu vingi vya mapepo.
Mfano mzuri sana ni pafyum kali sana lakini pia nguo nyingi wanazovaa zina mvuto kwa majini-referring to Wanajimu watakueleza.