Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

jaman kuna app initwa my calenda hii inakupa mwongozo wa kujua siku zipi ni salama na lin unaingia period pia inakuhesabia mzunguko wako kama ni wa siku ngapi28;29nk..ni nzuri nimejaribu kuifata na imenisaidia...
 
Point siku ya 1 ya mkeo kuingia mwezini hesabu (Siku ya 9HATARI) 10,11,12Free mpaka saa6usiku (SIKU 13,14,15,16.HATARI)
 
katika mada zilizochangiwa kwa nidham hii ni mojawapo, mara nyingi ushaur wa jf huambatana na kashfa ila hapa shwar.
 
ni tatizo gani alilo nalo msichana huyu,hajaingia period toka mwezi wa pili hadi Leo mwezi wa nne na afanye mini kupata siku zake tena
 
6.siku ya25 mpaka apate hedhi na kuisha msiduu
Umeongea vizur mkuu lakin hapo cyo sahihi, cku pekee ambazo ni hatari ni kuanzia siku ya 11 kuanzia siku ya kwanza aliyoanza kuona menses (damu) mpaka ya 17. Ovulation (kuchavushwa yai) huwa ni siku ya 14 lakini kwa tahadhari unaacha siku 3 before and after ndiyo maana inaangukia siku ya 11 hadi ya 17. The rest hakuna madhara mpaka atakapoona tena damu anaanza upya kuhesab
 
Mimi naomba kuuliza jaman maana nimechanganyikiwa siku zangu za kila mwez ni tar 25 sasa nimeduu na mtu tar 13 mwezi huu je naweza nikawa mjamzito?
 
siku anazokuwa ktk hedhi ni siku salama yaani 1 2 3 4 5 na pia kwanini 25,26,28 umesema ni siku hatari
Swali zuri. Baada ya siku ya 18 zote ni siku salama maana yai linakuwa limeshavuka kwenye fallopian tube ambapo mimba ya kawaida hutunga. Baada ya hapo kutunga mimba ni highly unlikely unless kuna some extraordinary circumstances.
Umeongea vizur mkuu lakin hapo cyo sahihi, cku pekee ambazo ni hatari ni kuanzia siku ya 11 kuanzia siku ya kwanza aliyoanza kuona menses (damu) mpaka ya 17. Ovulation (kuchavushwa yai) huwa ni siku ya 14 lakini kwa tahadhari unaacha siku 3 before and after ndiyo maana inaangukia siku ya 11 hadi ya 17. The rest hakuna madhara mpaka atakapoona tena damu anaanza upya kuhesab
 
ilikuwa ni siku ya ngap toka uanze hedhi
Hapo ni mahesabu tu, kama anapata siku zake kila tarehe 25, ina maana ana mzunguko wa siku 30 hadi 31, so kama kafanya tarehe 13 basi itakuwa ni siku ya 17 au 18 baada ya hedhi. Hapo uwezekano wa kupata uja uzito ni mdogo mno if any.
 
kujua siku yako ya hatari inategemea na mzunguko wa mtu ( mensural cycle) i.e mtu anapata hedhi kwa wastan kila baada ya siku ngap. kwa kawaida wengi hupata hedhi kila baada ya siku 28 lakin kuna wengin siku 21,30,35 na wengine hadi siku 45. hivyo fomula ya kujua siku za hatari inakuwa hivi .let x = mensural cycle, then (x +/- 14)=danger days
 
Mmmhh! Labda....
Mtoto wangu wa kwanza mimba ilinasa siku ya 9 after period
to me ni kuanzia siku ya 9,10,11,12,13,14 na 15 ndo siku za hatari zingine ni kujiachia tu
mamii why wajiita ram?
 
Umeongea vizur mkuu lakin hapo cyo sahihi, cku pekee ambazo ni hatari ni kuanzia siku ya 11 kuanzia siku ya kwanza aliyoanza kuona menses (damu) mpaka ya 17. Ovulation (kuchavushwa yai) huwa ni siku ya 14 lakini kwa tahadhari unaacha siku 3 before and after ndiyo maana inaangukia siku ya 11 hadi ya 17. The rest hakuna madhara mpaka atakapoona tena damu anaanza upya kuhesab
Kamanda upo sahihi 100% na nawaomba watu wafuate huu ushauri ndio unaokubalika
 
Back
Top Bottom