Is that supposed to be a question or just a suggestion? Maana kwenye heading umeuliza kama swali.
Kumbukumbu zako ni zero. MKUU KASEMA ANASITAAFU SIASA BAADA YA MIAKA HII MI5.Wasomaji na wana-JF mpaka sasa ni UVCCM ndio nasikia wana mkakati wa kumuweka Mwenyekiti wao wa zamani kujiandaa kwa Urais, Mimi noonelea Bw Mizengo anastahili kwani ameonyesha upeo mkubwa sana alipokuwa Serikali za Mitaa alitembelea Halmashauri zote Tz aliwaunganisha Madiwani wa Kigoma mjini (CHADEMA na CCM) katika Umeya walipofungana kwa idadi ya kura na akashauri aanze Meya wa CDM na atamalizia wa CCM. alionyesha uchungu Bungeni kwa Maalbino. Na huend aakawanyima Dowans hela zao za kitapeli ndio pekee anayeweza kuiwakilisha CCM la si kama yeye UPINZANI ni 2015
Kwa sasa amehamia Kijijini ZUZU nje kidogo ya Dodoma anakolima masika haya.
Nakaribisha maoni
Wasomaji na wana-JF mpaka sasa ni UVCCM ndio nasikia wana mkakati wa kumuweka Mwenyekiti wao wa zamani kujiandaa kwa Urais, Mimi noonelea Bw Mizengo anastahili kwani ameonyesha upeo mkubwa sana alipokuwa Serikali za Mitaa alitembelea Halmashauri zote Tz aliwaunganisha Madiwani wa Kigoma mjini (CHADEMA na CCM) katika Umeya walipofungana kwa idadi ya kura na akashauri aanze Meya wa CDM na atamalizia wa CCM. alionyesha uchungu Bungeni kwa Maalbino. Na huend aakawanyima Dowans hela zao za kitapeli ndio pekee anayeweza kuiwakilisha CCM la si kama yeye UPINZANI ni 2015
Kwa sasa amehamia Kijijini ZUZU nje kidogo ya Dodoma anakolima masika haya.
Nakaribisha maoni
Du mkuu (Idimi) nilikuwa simjui kama ni mkabila mm niliangalia sura. Naomba Data zaidi za hao wakuu wa wilaya hata mmoja kwa faida ya wengine na vizazi vijavyo kwa mwaka 2015Hafai kuwa raisi huyu, hana maamuzi 'MAGUMU'. Angekuwa anaijali nchi, asingeruhusu shangingi lile 'alilolikataa' likanunuliwa. Angezuia lisinunuliwa kabisa. Hatuhitaji mtu wa namna hii. Lakini Pinda pia ni mkabila sana, kama unabisha basi kumbuka yaliyompata mkuu wa wilaya ya Mpanda (2006-2008), yaliyompata na chanzo cha ugomvi wao.