Mizaha kila sehemu.....

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Tangazo%5B1%5D.jpg

Uvivu wa kusoma ama ndo yale akili zao changanya na zakwako!

MPOK0748%5B1%5D.JPG

Wadogo nao wamejipumzikia relini!!!!!
 
Do we (you and me ) care attitude , hi ndio attitude yetu kwenye kila kitu kuanzia nyumbani, ofisini, barabarani, mpaka kwenye vitu vya msingi vinavyotuhusu. Huu sio mzaha ila ni ujinga wa watanzania.

Gari tani 7 anapakia tani 10, gari abiria watano utaona limepakia 8, daraja uzito tani 10 semi trailer inapitishwa. Taa nyekundu dereva anakwenda tu, mtu anaumwa mguu anapasuliwa kichwa. Loliondo anakuja mtu wa Longido

Masa nchii hii we acha tu.
 
Nadhani sisi wabongo tuna shida sana na attitude! Unaweza kuta jamaa anatema mate ndani ya dala dala iliyo nyomi....!
 
Mate tu, mbona madogo... kuna wengine wanapua kwa makususdi kabisaaa na hali wakijuwa kuwa wamekula maharagwe.
 
Do we (you and me ) care attitude , hi ndio attitude yetu kwenye kila kitu kuanzia nyumbani, ofisini, barabarani, mpaka kwenye vitu vya msingi vinavyotuhusu. Huu sio mzaha ila ni ujinga wa watanzania.

Gari tani 7 anapakia tani 10, gari abiria watano utaona limepakia 8, daraja uzito tani 10 semi trailer inapitishwa. Taa nyekundu dereva anakwenda tu, mtu anaumwa mguu anapasuliwa kichwa. Loliondo anakuja mtu wa Longido

Masa nchii hii we acha tu.

Balaa litakuja hapo Oktoba. Tunataka mabadiko lakini watu wataichagua tena CCM kushika madaraka pamoja na ufisadi wote walionao. Aaaa Sisi sijui tunalaana.
 
Mashindano ya Riadha Arusha,inatumika Bendera ya taifa la Zanzibar kutangaza mshindi wa Tanzania bara baada ya Jamhuri ya Muungano... KULIWA NA PANYA...
 
Gari la raisi kuchomoka tairi...wengine wanashangilia eti ni ajali kama zilivyo nyingine...huu ni mzaha!
 
Rais anatoa speech kuhusu takrima mbele ya viongozi wa dini, siku mbili tu baadaye Msajili wa vyama anakuja kukanusha na kusema Rais alikuwa anatania tu!
 
Rais anatoa speech kuhusu takrima mbele ya viongozi wa dini, siku mbili tu baadaye Msajili wa vyama anakuja kusema Rais alikuwa anatania tu!

Mizaha kwenda mbele babu sisi na taifa letu!
 
Tatizo si kujua kusoma, na tatizo pia si kwenda shule, tatizo ni ustaarabu tuliolelewa nao, hapa kwetu Tanzania hakuna hata kitu kikoja kinaenda kwa nidhamu inayotakiwa, hapa inayodumu ni nidhamu ya kitu kidogo tu.

Shule za kata zimijengwa hakuna maabara wala walimu, zahanati zinajengwa hakuna waganga wala wauguzi, barabara zinajengwa hakuna maintenance, ni mashine za kuuzia Condom tu ndio zinazofanya kazi, ndio maana wenzetu kule Mayotte wanafikiria sana kabla ya kutaka uhuru kutoka kwa Ufaransa.
 
Mizaha kwenda mbele babu sisi na taifa letu!

Mkuu kwani mambo ya Rais yana tofauti gani na yale ya Muhimbili? Mgonjwa wa kichwa anafanyiwa operation ya mguu na yule wa mguu anafanyiwa ya kichwa. Kweli tunahitaji kurudi kwenye hamsa ishirini ili mambo yaende. Vinginvyo hata punda habebi mzigo tena!
 
Balaa litakuja hapo Oktoba. Tunataka mabadiko lakini watu wataichagua tena CCM kushika madaraka pamoja na ufisadi wote walionao. Aaaa Sisi sijui tunalaana.

Sio kweli kuwa CCM wanachaguliwa na wadanganyika kuwatawala bali wanalazimishwa kuta waliwa na hiki chama fisadi kwa wizi wake wa kura!!!
 
Do we (you and me ) care attitude , hi ndio attitude yetu kwenye kila kitu kuanzia nyumbani, ofisini, barabarani, mpaka kwenye vitu vya msingi vinavyotuhusu. Huu sio mzaha ila ni ujinga wa watanzania.

Gari tani 7 anapakia tani 10, gari abiria watano utaona limepakia 8, daraja uzito tani 10 semi trailer inapitishwa. Taa nyekundu dereva anakwenda tu, mtu anaumwa mguu anapasuliwa kichwa. Loliondo anakuja mtu wa Longido

Masa nchii hii we acha tu.

Asante Mkuu.......

nimekugongea thanks hapo chini....
 
Mate tu, mbona madogo... kuna wengine wanapua kwa makususdi kabisaaa na hali wakijuwa kuwa wamekula maharagwe.
Naamini ilikua wanapumua kwa nyuma

Gadner Habash Captain wa nchi kavu jana wakati wa jahazi kawaambia kiafya unatakiwa uende haja ya upepo at least mara 13 kwa siku tutakoma
 
Back
Top Bottom