abdulahsaf
JF-Expert Member
- Aug 31, 2010
- 858
- 130
[h=1][/h]
Written by zamko // 05/08/2012 // Habari // No comments
Assalamu alaikhum ndugu Wazanzibari na Wazalendo wa blog hii popote mulipo.. Nimekua nikifuatilia Mashindano ya Olimpic kule UK. Na niliona timu ya Tanzania-Tanganyika iliingia uwanjani na watu wasiopungua 10-13 (kama sikosei). Lakini hakuna Mzanzibari hata mmoja ninayemjua au kumfahamu katika timu ile ya Tanzania.Sasa hapa ninaweza kupata majibu kwayule anaejua.
Hivo Zanzibar au Wazanzibari hawana Michezo yakuwakilisha Olimpic Game?
Kwa Upande wa wenzetu wenye Miungano inayokubalika Duniani ni Scaninevian Countries.Hizi ni nchi 4 Norway, Sweeden, Denmark na Finland. Hawa wameingia na timu moja ya Muungano wa Scanadinavian ambayo inajulikana kwa jina la NORMAND . Hii timu ya Normand ni watu wenye fani mbali mabli za sports na wamekua sponsered na Muungano wao wa Scandinevian. Na hapa kila Nchi katika nchi hizi 4 zimetoa mtu 1-2.
Na vile vile wako na Individuals team ambazo zinawakilisha nchi zao. Mfano Denmark wameingia na kundi lao ambalo linawakilisha Denmark kama Nchi na sio sehemu ya Scandinavian.
Norway nao hivo hivo, Sweeden halkadhalika na Finland hawakua nyuma.
Jee cc wazanzibari tunaoambiwa (ati) tunamuungano wa Damu na Usaha.. Kwanini Wenzetu waliokua ni ndugu wamechukua Watanganyika watupu? Na ubaya uliopo mmoja wa Watanganyika jana alishindwa kuruka kihunzi alipofika ndani ya Uwanja na alianguka akachukuliwa kwa wheelchair.
Sio hivyo tu tokea mashindano yaanze wiki moja na robo sasa sijamuaona hata Mtanganyika/ Mtanzania mmoja aliewakilisha Tanzania. Siajabu wamekuja Madukana na kutembelea jamaa zao waliokimbia kama Wakimbizi wa kisomali.
Kwani hivyo ndivo wanavotufanyia huitwa kwenye mikutano ya Kibiashara kwa jina la Tanzania wakaja wao tu Watanganyika na wakawa hawahudhurii katika Vikao hivyo. Ushahidi tunao ..
Naomab wenzangu munaofuatilia OL -London muniambie kama nimekosea na kama mumemuona Mtanzania/ Mtanmganyika katika mashindano ya OL.
Katika OL ya mara hii wallahi nimeona Nchi nyengine ambazo ni ndogo kuliko Zanzibar lakini zinajulikana International cc wazanzibari Tumegubikwa Kaniki la Muungano na Viongozi wetu hawasikii hawaoni. Ndio hao akina Mwindadi hivi sasa wanataka fedha ya Misaada ya Zanzibar iliwe katika account ya Tanganyika-Chambilecho Muungano. wasaliti tunao na wala hawaoni kwani yao yanawaendea.
Nivizuri Watanganyika wafikiri kweamba Wazanzibari wandai haki yao ya Kikatiba na Msingi na wanaidai kwa njia ya Amani kabisa. Bado wanaendelea kutu-tirubua na kutuzungusha.. Kuna siku Wazanzibari watachoka kustahamili na watakapo amua Basi Hata Bara hakutakalika.