Miujiza ya madem hususani wa mjini Daslam...

hahahahaha!!! hii kiukweli ipo hata mimi binafsi nimeshashuhudia....sijui inakuwaje! wanabalansi vipi matumizi yao hapo? kweli ni miujiza tena hapo bado na kodi ya nyumba juu, analipia, etc etc....hatariiiii!!!!!!!!!! nyc lkn si ndio mihangaiko hiyo ya mjini...ukitegemea mshahara tu inakula kwako mwenzangu!!lol!!!
 
Watu wa mbinu. Mjini hapa. Lol
Ukishangaa shangaa unapelekwa machinjioni.
 
Kwani ajabu ni nini hapo?
Kodi inalipwa na Chris, Gari nanunuliwa na Eric wa TRA, nguo nanunuliwa na Ray. Mahitaji ya ndani nanunuliwa na Ally. Mshahara wangu ni kwa ajili ya familia (nautuma kwa wazazi na ndugu)
 
Mshahara wako 270,000

Handbag yako inagharimu 140,000

Unamiliki GX 110...

Hills zako 120,000

Above all,

Unatumia Note 3

Then unaenda kanisani kuomba wkt wewe mwenyewe UNATENDA MIUJIZA!

Wakati Mungu anatoa adhabu kwa Adam na Hawa baada ya kula tunda lililokatazwa alimwambia Hawa kwamba atazaa kwa uchungu wakati Adam aliambiwa atakula kwa uchungu. So hakuna sehemu ambako Hawa aliambiwa atafute, ni mwanaume atakayemtafutia.

So ukiona dada ana vitu hivyo ujue kuna mwanaume anaifanya vizuri kazi/adhabu aliyopewa na Mungu, na ukumbuke msamaha unakuja kwa kufanya part yako ya adhabu vilivyo.
 
hayo ni mambo ya waume wemba ambao wanatoka CRDB.NBC.NMB.TRA.BOT N.K na ndo habari.ya mujin hao
 
Huu udhibiti wa drugs athari zake tutaziona sii muda mrefu pango la nyumba za sinza walizokua wanakaa kina dada zitashuka
 
Wakati Mungu anatoa adhabu kwa Adam na Hawa baada ya kula tunda lililokatazwa alimwambia Hawa kwamba atazaa kwa uchungu wakati Adam aliambiwa atakula kwa uchungu. So hakuna sehemu ambako Hawa aliambiwa atafute, ni mwanaume atakayemtafutia.

So ukiona dada ana vitu hivyo ujue kuna mwanaume anaifanya vizuri kazi/adhabu aliyopewa na Mungu, na ukumbuke msamaha unakuja kwa kufanya part yako ya adhabu vilivyo.

Nimependa the way ulivyo-reason mkuu, in law we call it 'logical reasoning'.
 
Kwani ajabu ni nini hapo?
Kodi inalipwa na Chris, Gari nanunuliwa na Eric wa TRA, nguo nanunuliwa na Ray. Mahitaji ya ndani nanunuliwa na Ally. Mshahara wangu ni kwa ajili ya familia (nautuma kwa wazazi na ndugu)

Hahaha duh! nimekubali
 
hahahahaha!!! hii kiukweli ipo hata mimi binafsi nimeshashuhudia....sijui inakuwaje! wanabalansi vipi matumizi yao hapo? kweli ni miujiza tena hapo bado na kodi ya nyumba juu, analipia, etc etc....hatariiiii!!!!!!!!!! nyc lkn si ndio mihangaiko hiyo ya mjini...ukitegemea mshahara tu inakula kwako mwenzangu!!lol!!!

Mkuu we acha tu, ukifikiria sana unaweza ukapasuka kichwa!
 
Back
Top Bottom