Miti ya mbao na upatikanaji wake

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
360
386
Nawasalimia ndugu zangu,

Poleni kwa changamoto ya mvua

Nina shamba langu dogo hapo Chalinze, nataka nilipande miti pembeni kulizunguka.

Je, huu ni msimu mzuri wa kuotesha miti?

Je, ni miti gani mizuri yenye manufaa baadaye?

Je, kwa hapo Chalinze inapatikana au ni bora nitafute kwingine?

NB: Mimi siyo mkazi wa maeneo hayo ndiyo maana sijui chochote ila nina eneo hapo.

Nakaribisha ushauri na mawazo pia.

Asanteni.
 
Panda mitiki,inafanya vizuri maeneo ya Pwani.
 
Nawasalimia ndugu zangu,

Poleni kwa changamoto ya mvua

Nina shamba langu dogo hapo Chalinze, nataka nilipande miti pembeni kulizunguka.

Je, huu ni msimu mzuri wa kuotesha miti?

Je, ni miti gani mizuri yenye manufaa baadaye?

Je, kwa hapo Chalinze inapatikana au ni bora nitafute kwingine?

NB: Mimi siyo mkazi wa maeneo hayo ndiyo maana sijui chochote ila nina eneo hapo.

Nakaribisha ushauri na mawazo pia.

Asanteni.
Kwa ushauri na mwongozo kuhusu miti aina zote kuanzia Miche tupo.
Hapo unaweza panda sederea au mtiki.
Ikiwa unataka na miche ya matunda,viungo na tiba pamoja na hiyo ya mbao tupigie 0714 600575
 
Back
Top Bottom