mitego ya mahousegirl

Msaranga

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
956
227
download

just imagine unatoka kazini umechoka mkeo kasafiri umebaki na housegirl tu nyumbani na watoto wapo boarding unamkuta mtoto wako wa kazi nyumbani katika vazi hili jamani hapo inakuaje utafanyaje?utamwambia akabadilishe au amalizie kuosha viombo.
au utarudi baa kupata kili moja baridi
 
Kuna mtu mmoja aliwahi kutufundisha kwenye semina ya UKIMWI kuwa nguo kavaa mwingine wewe inakuhusu nini?? Ukiona mara moja na ukaona haifai usiangalie mara ya pili endelea na shughuli zako.

Sasa wewe kama umeona hivyo si uende chumbani kwako ukalale na hiyo kili baridi unayotaka kuifata huko ukirudi utakumbuka ile nguo aliyovaa
 
I cant see the photo! ila nawaza kwamba itakua inaonesha sehemu fulani ya mwili wake! Cha msingi hapa ni dhamira yako, wako ndo linazaa dhambi. Ukianza kumwaza na kumfananisha na mke wako hapo ndo unafanya kosa kwa ninyi wanaume! akili yote inakimbilia chini kichwa kinabaki empty kwa muda! Unachotakiwa kufanya ni kumshauri akajifunge kanga, au pita nenda zako bila ya kutazama mara ya pili. Coz najua wewe utarudia tena kutazama halafu unaanza kumwaga udenda.
 
Hapo mkubwa lazima uwe mkali, mshikie bango avae uzuri. Akiona upo serious umemshikia bango ataacha. Ukimwacha tu ataendelee kuvaa hivyo mwisho wake anaweza kukushika pabaya!
 
Mwanaume mwerevu atampigia mkewe simu hapohapo amwambie then mama atadeal na huyo HG
 
Mwanaume mwerevu atampigia mkewe simu hapohapo amwambie then mama atadeal na huyo HG
Wazo zuri Dinnah, lakini kwa uhalisia wake baada ya kusema tatizo mkeo atakuwa na maswali mengi kuliko majibu:coffee:!!!!!
 
Mkuu kumbuka kwamba everything starts from the brain. Message ikisha tumwa in your brain lazima mwili utapokea message na definitely reaction itatokea. (for every action there is a reaction). Sasa nakupa home work kajaribu hii.
Ukiwa na mke wako kitandani, wote mkiwa tayari for the game, tuma akili yako, kumbuka kitu ambacho kilikusikitisha saaaana mfano jaribu kukumbuka mgonjwa wa ukimwi rafiki yako au ajali mbaya sana ambayo ulishashuhudia. Mkuu hapo lazima utageukia upande wa pili. hutoitaka tena game. Na kama ulikua magendo huyo mwanamke lazima atakulaani. Huyo HG hata akitembea uchi, i don't think you will be interested na pia nae atajiona zonto. Mkuu hiyo ndio dawa rahisi ya kukwepa ngono.
 
hiyo yote kwa kuwa mke wako hayupo.angekuwepo ungefiria yote hayo?ukijihisi vya kuhisi,mpigie simu mke wako mburudike kwenye simu.mahaba ya kwenye simu yapo
 
Kama unampenda na kumheshimu mkeo wako wa ndoa from the bottom of your heart, then sidhani kama unaweza kumdhalilisha na kumwuumiza hivyo kwa kulala na msichana wenu wa kazi. Acha tamaa
 
huwa anavaa hivyo hata akiwepo mkeo?kama huvaa hivyo kwa nn leo uone ajabu?ukiona akili inahamia kwingine we nenda chumbani kwako kalale.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom