Mitazamo yenu plz ktk hili...!

ladywho

Senior Member
Apr 28, 2011
107
49
Baada ya upweke wa miezi kadhaa nimekutana na mwanaume mmoja hivi (ni divorcee) na tumeanza kudate, tatizo marafiki zangu wananicheka wanadai ni mzee sana cuz ananizidi miaka 15. Is it that bad au wananionea wivu tu? Mitazamo yenu plz.
 
Katika maisha unapofanya maamuzi usitazame nani anasema nini. Kikubwa kama maamuzi yako hayana madhara kwako au kwa mtu yeyote yule,wewe songa mbele.
Mimi sidhani kama miaka 15 ni mingi sana. Kwa sababu hana umri wa kusema ni sawa na Baba yako. Kikubwa ni kuwa kama unampenda na umeridhika wewe songa mbele. Unaweza ukakutana na huyo ambaye mnalingana na ikawa ni karaha badala ya raha.
SONGA MBELE DADA!!
''Kelele za chura hazimzuii Tembo kunywa maji'' Na kumbuka ''honi haifungui geti''
 
Kama Wazee wa miaka 50 wanatembea na visichana vya form 3 bila aibu, itakuwa huo mpango mzuri wa kuoana?\
Kama unaamini mnapendana na kuridhishana, then go ahead without looking back!..
Hata ungeolewa na age-mate wako, wa kusema watasema tu!
 
Genuinely mie hua sioni tatizo pale mwanaume anapokua amemzidi sana umri mwanamke hasa kama mwanamke ni mature... Tatizo hua vice-versa. Tena ukizingatia huyo mwanaume itakua akili imetulia ukifananisha na younger versions....
 
Usikilize moyo wako achana na maneno ya watu, most ya watu wa aina hiyo wana upeo mkubwa wa maisha na wakiamua kutulia na mtu wanatulia,fanya lile ambalo moyo wako umeridhia na sio kwa ajili ya watu kamwe hutaweza kumrithisha kila mtu ktk kila maamuzi yako.
 
I don't believe anyone should change who they are even if its for the man of your dreams, they have to love and accept for who you are that's the same goes for older men out there with significantly younger girlfriends, don't change who you are because if they don't accept you for you then they wont be with you for long because you aren't what they are looking for, age is just a number and we are not here to please people so as long as you are happy and this works for you go for it.

Also it depends on the maturity level as well.
 
Nadhani ulitaka kuandika kumridhisha

Usikilize moyo wako achana na maneno ya watu, most ya watu wa aina hiyo wana upeo mkubwa wa maisha na wakiamua kutulia na mtu wanatulia,fanya lile ambalo moyo wako umeridhia na sio kwa ajili ya watu kamwe hutaweza kumrithisha kila mtu ktk kila maamuzi yako.
 
Usijali wanasema nini rafiki zako,usisikilize roho mbaya na choyo chao kama ikiwa mmeridhiana mnapenda na mnaheshimiana hakuna mbaya kabisa,
Mtu mzima atakujali zaidi na kukupenda kuliko kijana mwenzio,kama sio fataki muone size yako mpe aone tofauti ya mtu mzima mwenzie na wewe...
 
lady tatizo la wanaume ambao umri umevuka boarder wanakaba sana utaweza? Maana utasindikizwa hadi chooni
ila maisha popote shosti

niko tayari kwa yote ila nilianza kujickia vibaya jinsi friendz wanavyoponda.
 
Usijali wanasema nini rafiki zako,usisikilize roho mbaya na choyo chao kama ikiwa mmeridhiana mnapenda na mnaheshimiana hakuna mbaya kabisa,
Mtu mzima atakujali zaidi na kukupenda kuliko kijana mwenzio,kama sio fataki muone size yako mpe aone tofauti ya mtu mzima mwenzie na wewe...

asante kwa hlo
 
Galfriend! Asikucheke au kukushawishi m2 uachane na wako umpendae kisa umri. Wa kwangu is 20 older than me na sisikii wala kuona kwa sasa. Mapenzi na visengereti ni magumu compared to older ones. Furahia mapenzi yako mamy...gudluck
 
mhm.....unajua many times umri mkizidiana sana tatizo linakuja kujitokeza kwenye interest zenu....maana unakuta kuwa yule mwenye umri mkubwa mara nyingi anakuwa purukushani nyingi za ujana na maisha ameshazipitia hivyo ametulia na wewe wajikuta ndio kwanza unataka kujiachia na ku-experience life sasa mwishio inakuwa kero kwa mmoja kati ya hao wapenda nao.

cha pili huyu jamaa unasema kawa divorced...ningekushauri ujiulize na ufanye utafiti source ya divorce ilikuwa nini...usichukulie sababu anazokupa yeye ndio ukweli unaweza kuja juta. be careful and stay alert...usijibwage mzima mzima take ur time
 
Hao ndo wazuri bibie wanajua kulea,kubembeleza
timiza adhma yako,
vijana purukushani tu.
 
Msisahau kupima, manake anaweza akakuambia divorce kumbe mkewe alishakufaga kitambo kwa gonjwa letu lile naniliii...
HASWAA, hiyo red ndiyo jambo la msingi ambalo hao mashost wako walitakiwa wakushauri na si kukucheka.
Weka mambo ya vipimo sawa, kanyaga twende mdada.
 
Back
Top Bottom