mitandao ya zanzibar yamuandama Bi samiha

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
img_minister1-476x272.jpg

Mh Samia ametutukanisha Wamakunduchi wote kuonekana siwo wamana.
Kuna watu huliza huko Makunduchi kuna nini hata ikawa badhi ya viongozi na watu kutoka huko kuwa wakorofi ktk maendeleo ya Zanzibar?
Maana nikipindi kifupi tu Kificho katukoroga mara Samia huyo nae? mara kura ya maoni kukataliwa sasa ikiwa itakuwa hivi mutatufanya wamakunduchi wote siwo wamaana nilazima tubadilike na tuweke uzalendo mbele wa nchi yetu tusijetukaonekana watu kutoka Makunduchi ndio kikwazo cha maendeleo na kufahamika vibaya mbele ya jamii.

Mh Samia ametutukanisha Wamakunduchi wote kuonekana siwo wamana. | MZALENDO.NET
 
Bi Samiah karibu Bongoland,sie hatuna ubaguzi,huku no Umakunduchi,u-ungazija,u-pemba wala U-unguja.
 
Huyu Samia nadhani ni moja ya vilaza katika serikali na siamini kama anafahamu hata majukumu yake. Kama alikuwa anayajua nini kimpeleke Zanzibar kujadili muswada kabla ya baraza la wawakilishi wa huko kuuchambua? Yeye anadhani yuko juu ya serikali ya GNU? Mwenye CV yake atuwekee humu jamani.
 
CV jamani maana nataka kutoa hoja hapa lakini kama sijaipata CV yake nitakuwa natwanga maji kwenye kinu. Aliyeeeeeee na CVVVVVVVV ATUWEKEEE JAAAAAMANI
 
Back
Top Bottom