Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.

Aisee ivi Ujuaji mtaacha lini ? have you tried kuchek ? kuwa basi na akili timamu, as I speak ukituma TUNDU LISSU kwa voda msg haiend hata kidogo ila ukituma John Magufuli inaenda voda ni wasenge sana. Usibishe vitu usivyovijua mkuu. Labda nikwambie kitu kuzuia hayo maneno yasipite kwenye database ya msg ya mitandao ya simu ni jambo dogo tu mzee ni query ya mistari mitatu tu na maneno hayo yanakuwa excluded. Usiwe mjuaji kabla ya kujua
 
Mbona ni rahisi tu kujaribu mkuu? Usibishe kika kitu. Mi nimejaribu tundu lissu imegoma, chadema imegoma. Na mimi natumia voda

Rafiki, hii nchi ni masikini sababu asilimia kubwa wana IQ ndogo kutokana na kuzaliwa nyumbani badala ya hospitalini. Sasa mtu anatoa taarifa pamoja na ushahidi lakini mtu bado anabisha pasipo hata ku test ushahidi uliowekwa. Ni shida sana lakini ndio nchi yetu.
 
Wadau nini kimetokea?

Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda....

Jaribu kwa Airtel, Vodacom

View attachment 1610197
Hii mitandao mwisho wao ni pale haki ikidhurumiwa wananchi wakaingia barabarani wataanza nao na pia ITV nayo wameanza kuihujumu chadema
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Nimetest now airtel haitumi.

Sasa usiende resi kama huna ushahidi
IMG_20201024_100139.jpg
 
Haya ndio mambo watanzania tulikuwa tunasoma kwenye nchi za madictator huko nje, kwa sasa mambo haya yako rasmi ndani ya nchi yetu! Halafu watu wanasema uchaguzi wetu utakuwa huru hivyo tusiingiliwe na mataifa ya nje. Watawala wanaofaidika na huu mfumo wa kutuburuza, ndio wanasema sisi tuko huru, hivyo tusiingiliwe!
Nchi inaenda kupata uhuru upya tarehe 28 toka chato kwa Mkoloni kaburu mweusi na ndipo utawakuwa mwisho wa unyanyasaji uonevu uovu wote uliopo sasa
 
Huo ni uzushi na upumbavu wa kiwango cha lami! Unataka kutuaminisha nini? , hakuna na hakiwezi kutokea kitu kama hicho! Bado kuna watu mmejaa ujinga sana humu!.
Nilivyoona comment yako imebidi nikajaribu
Ushahidi huu hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20201024-100339.png
    Screenshot_20201024-100339.png
    51.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom