Mitambo ya sauti mikutano ya CHADEMA na ITV inaboa

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,494
Habari,
Tunaelekea mwisho mwisho wa kampeni za uchaguzi ila kadri tunaposonga mbele mikutano ya CDM vyombo vinazingua. Leo coverage ya Live ITV pia imezingua sanaaa. Je, kuna tatizo gani? Mbona mnatunyima elimu wapiga kura?
 
Kulikuwa na interference kubwa lakini wakulaumiwa si CHADEMA wala ITV, kilichofanyika ni fitina za wenye mamlaka

Kaka Mshana au wale wakuu wa giza toka upande uleee walirusha chantula lao?
 
Lowassa kaanza kubania ela zake za mwisho mwisho kishaona Hali halisi, Leo akiwa Mbeya Mbowe kaanza kuchochea vurugu kwa kuwataka vijana kufanya Doria mitaani uck wa tareh 24 eti kuzuia watu wasinunue shahada huu ni mwanzo wa vurugu, nawakumbusha tu wakianza vurugu mapema basi ndo watapotea kabisa kwa kuwa itabidi masanduku yote ya kura yakahifadhiwe Polisi mpaka vurugu Iiahe then zoezi la kuhesab liendelee, CUF walijarib vurugu miaka ya nyuma wamejifunza kule visiwan ndo maana mwaka huu wanaendesha siasa za kistaarabu, Mkilianzisha tu mjue hata ubunge mtausikia kwny Makongamano na Warsha
 
Mi naomba kwenye mikoa ya mbeya arusha na mwanza wafanye vurugu lakini hapa Moshi na Daslam kwenye miradi yao hawawezi kuchochea vurugu wanajua wataumia wao
 
Nahisi hii ni hujuma kwa maana Itv haina setilaiti yake hivyo ni rahisi kuingiliwa,tofauti na AzamTv ambayo central system iko nje ya nchi.Hivyo lawama ni kwahaohao chichinyemu.
 
Poleni ila AZAM TV ilikuwa clear sn wakuu! Sauti safi kabisa!

ITV Ikubali Kuufumua Uongozi Wake Hasa Mkurugenzi Wake. Kuboresha Vifaa Hawana Vyombo Vya Kurusha Matangazo Ya Moja Kwa Moja {LIVE} Nihaibu kwa Kampuni Kubwa Kama Hii Kushindwa Naka Kampuni Kama {Star Tv} Ni Haibu Sana Naihi Inatokana Na Kuwa Na Mkurgenzi Asiyekuwa Mbunifu, Kama {Tido Mhando}
​
 

ITV Ikubali Kuufumua Uongozi Wake Hasa Mkurugenzi Wake. Kuboresha Vifaa Hawana Vyombo Vya Kurusha Matangazo Ya Moja Kwa Moja {LIVE} Nihaibu kwa Kampuni Kubwa Kama Hii Kushindwa Naka Kampuni Kama {Star Tv} Ni Haibu Sana Naihi Inatokana Na Kuwa Na Mkurgenzi Asiyekuwa Mbunifu, Kama {Tido Mhando}
​

Je una uhakika? Tusiwe wasahaulifu kwanini tusahau yale majigambo kuwa kuna mitambo ilinunuliwa, kama miaka minne yenye uwezo wa kuvuruga mawasialiano yoyote?

Tusiwe wasahaulifu!
 
Back
Top Bottom