Mitaa/vitongoji/vijiji vya Tabora

kulikuwa na chuo cha Uhazili tulikuwa tunaita zizini, kwa jinsi kulivyokuwa na watoto kutoka sehemu mbalimbali za tz, nani anaikumbuka Tabora By Night, Tabora hotel, Mwanaisungu (Isungu Honeyport), NBC Club, kuna mmoja wenu aliwahi kucheza basketball uhazili na mwalimu kamsululu?

Mkuu sidhani kama ZIBA NA CHOMA ZIPO NZEGA. Mi najua vipo IGUNGA. Ngoja niendeleze orodha ya igunga. iborogero, nyandekwa, ndembezi, ulaya, nkinga, mwisi ( kwa rostam), igumo, majengo, simbo, uswaya, igoweko, sungwizi, nguliti, bukoko, ncheli, ugaka, moyofuke, mwakabuta, ntigu, kitangiri. Du, ngoja nipumzike kidogo, nitaendelea.......

Asante Polisi,

ni kweli ZIBA na CHOMA ni vijiji ktk wilaya ya IGUNGA. Kwahiyo iwapo unatoka NZEGA kwenda IGUNGA, ZIBA mbele CHOMA nyuma!

Asante Polisi,

ni kweli ZIBA na CHOMA ni vijiji ktk wilaya ya IGUNGA. Kwahiyo iwapo unatoka NZEGA kwenda IGUNGA, ZIBA mbele CHOMA nyuma!

Ukitoka nzega unakwenda ziba. Ukitoka ziba hatua chache kama unaelekea igunga, upande wa kushoto huwa kuna barabara ya vumbi kwenda choma hadi shinyanga. Ukitoka ziba unakwenda iborogero, then nyandekwa, nanga, ulyang'ombe na mbele kuna vijiji kama viwili kabla hujafika wanakotoa fomu za kugombea ubunge. Karibu sana igunga

Kwa wale wanaokufahamu kwa yule mtemi maarufu wa enzi hizo Milambo na mwenzie Isike,tukumbuke kidogo maeneo mbalimbali ya huko,iwe mitaa,vijiji,vitongoji nk kama:
Isevya
Kanyenye
Ngoma Sakasi
Ipuli
Makokola
Kaze Hill
Nata
Sikonge
Kaliua
Bachu
Imalamakoye
usindi
ulwankuru
ulindwawanoni
mabama
ilalanguru
imalamakoye
kapilula
ushokora

Tumbi, ilolangulu, mbola,igwisi, kitaana, igembesaboh. Ila wanyammwez wambea kinyama wasimuone mtu anachimba dawa kijiji kizima kitajua sijui wakoje??

Cheyo
N’gambo (Hapo ndo warembo wengi huwa wanatokea mitaa hii, ila tatizo nyumba nyingi za eneo hili zimewekewa mawakili zisianguke)
Itetemya (Wenyeji huita Itetemia)
National
Kiyungi
Chem chem (Kama vile N'gambo)
Mwinyi
Kitete
Kanyenye
Uhazili
Bachu
Gongoni
Isike
Check line (wenyeji wa tabora wainaita chekeleni)
Tumbi
Mihogoni
Bigwa
Igombe
Misha
Shitage
Mguluko
Milambo
Mihayo

kulikuwa na chuo cha Uhazili tulikuwa tunaita zizini, kwa jinsi kulivyokuwa na watoto kutoka sehemu mbalimbali za tz, nani anaikumbuka Tabora By Night, Tabora hotel, Mwanaisungu (Isungu Honeyport), NBC Club, kuna mmoja wenu aliwahi kucheza basketball uhazili na mwalimu kamsululu?

Mkuu umenikumbusha mbali sana hilo jina nilisoma na mtoto wake pale Town primary school sijui msela yupo wapi hivi sasa alikuwa anaitwa Oska kamsululu.

Kaguwa
Ndekeli
Simbo
Uhemeli
Upungu
Ziba
Mwakalundi
Itanana
Silimka.

Tukutuku
ng'ambo
magoweko
kakola
masimba
isikizya
igoko
ilalanyimba
nsimbo
igusule
ilalan'ina
goweko
isangee
tumbi
mabama
ilalanguru

Kasungu
Kazaroho
posamoyo
Ushindi
igagara
vumilia
Ulindwanoni-kijijini kwa Kapuya
igwisi
Kasisi
Igalula
kangeme
puge

Similar Discussions

Back
Top Bottom