Misukosuko ya bodaboda ulie au ucheke!

Userne

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
892
124
Bodaboda ilipata ajali ya kuacha njia na kutumbukia kwenye mtaro.
kilicho washangaza na kuwasikitisha wengine pia kufurahisha wapitanjia ni ule wimbo uliokuwa ukiimbwa na ile pikipiki ni ule wimbo wa mama Rose Muhando wa Nibebe nibebe nibebe nibembeleze nibebe......mikononi mwako niwe salamaaa.uliendelea kuimba huku pikipiki ikiwa juu ya majeruhi!
Jamani napita njia tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom