Jacqueline Ntuyabaliwe
Kwa wapenzi wafuatiliaji wa Miss Tanzania 2000, habari kutoka kwa Sports Lady, Dina Ismail zinasema -- MISS Tanzania 2000 Jacquiline Ntuyabaliwe amefanikiwa kujifungua salama watoto mapacha wa kiume.
Taarufa zilizopatikana zinaeleza kwamba mrembo huyo pamoja na watoto wake hao hali zao zinaendelea vyema.