"Miss jf 2012" Kura yako ni muhimu sana.

samahani sana KUMIRUDISHENI nyuma...humu mnachagua mamis au maMrs?...maana kuna watu wametajwa/kupendekezwa hapo juu nawafahamu kabisa ni VIAJUZA sina mfano!!!!
 
Hahahahahahaha!!!!!!!!.....daah, nimecheka na bado naendelea kucheka lol..... klorokwini huna adabu kabisa khaaaa!....nikiugua mbavu nakufuata kwa matibabu.

Nani kakudanganya huyo Mhe, fani ya tiba anayo ?
Madaktari tupo wenye fani hizo.
 
Last edited by a moderator:
haya, umeona sasa, wasemaje?

Tobaa! Waallah Mwali usiposhinda nitafika hadi mahakama ya rufaa! Sasa n'sikilize Mwali: tupa kabisa huo mtandio tukate mzizi wa fitna. nakuhakikishia kabisa hutapata mpinzani! Si umeona mwenyewe ile kuonyesha sura tu kidogo kura zilivyo miminika? Please!
 
Tobaa! Waallah Mwali usiposhinda nitafika hadi mahakama ya rufaa! Sasa n'sikilize Mwali: tupa kabisa huo mtandio tukate mzizi wa fitna. nakuhakikishia kabisa hutapata mpinzani! Si umeona mwenyewe ile kuonyesha sura tu kidogo kura zilivyo miminika? Please!
mi mtoto wa kiislam bwana.
na wala sina ham ya ku-compete
kura yangu ni kwa Ero na Cute!
 
mi mtoto wa kiislam bwana.
na wala sina ham ya ku-compete
kura yangu ni kwa Ero na Cute!

Unaniangusha promoter wako Mwali, au kwa sababu hajatangaza zawadi ya mshindi? Ngoja nimgeukie huyu naye!
 
mi mtoto wa kiislam bwana.
na wala sina ham ya ku-compete
kura yangu ni kwa Ero na Cute!

avatar59556_21.gif


Umeshafunika tena uso? Mwali you are not serious! Najitoa kwenye u-promoter.
 
Hivi Miss FJ maana yake nini?
mi nadhani ni mwanamke ambae ana uwezo wa kutuwakilisha sote kam JF members
Kwa vile JF hua hatutumii picha wala jina, the only thing wanawakilisha ni ideas zetu
na katika ideas ilionekana kua wanawake wawili hawa wana weza kutuwakilisha sote
sasa hayo ya kuweka picha si bora tukagombee miss U-Turn au blogs zingine za kijinga?

Mwali naona umemwaga pwenti hapa..Wewe mbona unafaa na shungi bila shungi unabamba tu.
 
Last edited by a moderator:
tupeni orodha ya wanawake wa humu ndani alafu tupige kura...mana kuna wengine hua nadhani ni wanawake kumbe ni mameni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom