"Miss jf 2012" Kura yako ni muhimu sana.

Mimi nimeanzisha uzi ili mpige kura sasa nyie mnaanza kuleta stori nyingine?
Haya basi mimi nampendekeza Mwali.
Asante sana ila mimi kama mimi siamini katika competitions
the only person I can compete with ni mimi mwenyewe.
Hua najiskia frustrated sana nikishirikishwa na nishindwe
paradoxically hata nikishinda I still feel sad for the loosers
So wacha tumpendekeze Erotica tuone kama atashinda.
 
Last edited by a moderator:
Huku ni kuuziana mbuzi kwenye magunia.
Bandika picha,watu waje uwanjani kupiga kura.
Hivi Miss FJ maana yake nini?
mi nadhani ni mwanamke ambae ana uwezo wa kutuwakilisha sote kam JF members
Kwa vile JF hua hatutumii picha wala jina, the only thing wanawakilisha ni ideas zetu
na katika ideas ilionekana kua wanawake wawili hawa wana weza kutuwakilisha sote
sasa hayo ya kuweka picha si bora tukagombee miss U-Turn au blogs zingine za kijinga?
 
mhh sa huo umiss unao utaka wewe kagombee kule kwenye jukwaa la siasa, mambo ya kupanga hoja vizuri huku hamna...
pcha, pcha , pcha tafadhali.!!!
 
Hivi Miss FJ maana yake nini?
mi nadhani ni mwanamke ambae ana uwezo wa kutuwakilisha sote kam JF members
Kwa vile JF hua hatutumii picha wala jina, the only thing wanawakilisha ni ideas zetu
na katika ideas ilionekana kua wanawake wawili hawa wana weza kutuwakilisha sote
sasa hayo ya kuweka picha si bora tukagombee miss U-Turn au blogs zingine za kijinga?
...umenifilisi ...kila la kheri..naomba uwemo katika kinyang'anyiro cha ulimbwende. Mwali
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom