Miss chit chat 2013: mkono mtupu haulambwi....

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,514
11,277
Wadada mnaogombea hiyo nafasi na mnaitaka kura yangu, basi mkiniandikia PM mnipe na dau lenu kabisa ili nijue nani anastahili kura yangu siyo mnaomba omba tu kupigiwa kura bure bure...

Kama na wewe mdau umepokea jumbe zenye kuitaka kura yako basi tambua hii ni fursa... Hivyo basi Kamata fursa kisha twenzetu.....

Mapendo.
TANMO
 
Natamani wangewekewa uzi maalum wana jf wakauona pia kukawa na nafasi ya maswali. Naona wote pia ni kama weye hata mchango wa jf hamjatoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom