Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 16,320
- 39,489
We umeamua kunichekesha tyuuu!!
Mimi sio msafwa na hata ningekua mswafa nisingekataa sababu wasafwa ni watu poa sana, alafu wana mishape si ulimuona Masogange?? Sasa nakataaje hapo?? 😂😂😂
We umeamua kunichekesha tyuuu!!
Marehemu mtu mzito tulimsafirisha kwa flight 😂😂😂Aisee
Utasema marehemu anaelewa kinachoendelea
Alafu rambirambi hazina auditing. Utatukanwa hapo kidogo tu kuwa umepiga rambirambi lakini baadaye wanapotezea wanaganga msiba ujao. Ndiyo maana wakora wanatengeneza misiba-hewa ili wapige.Matibabu milioni moja hakuna yani haipo....msiba bajeti mil 8 na inapatikana chap
Ina maana wewe unajua sana maisha yangu hadi kusema sijawahi fiwa? Wewe ni mjinga mno. Hali ya uchumi kuanzia marehemu hadi familia yake ndo huamua mazishi yaweje. Wadau huchangia kulingana na jinsi wanavyoitazama familia. Kwa wakristo ni hadi makanisani hali huwa hivyo. Akifa mtu mwenye pesa atazikwa na maaskofu wakishirikiana. Akifa maskini atazikwa na katekista tena kwa kujilazimisha. Na itafuatiliwa kwanza kama alikuwa anashiriki mambo ya kanisa.Hakuna mfiwa anayejigharamia msiba kama ulivyosema "huendana na hali ya kiuchumi ya familia" hiyo iko Ulaya. Hapa Tz msiba hubebwa na wadau kwenye vikundi. Hujafiwa wewe vuta subra uone... au hushiriki misibani ukajuwa mfumo ulivyo.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwani watakuwa wanalifungua kumuangalia Marehemu hadi waweke slide?Kila wafiwa wa imani zinazotumia jeneza wanataka kaburi kama la Magufuli la ku-slide grave-top (mfuniko wa kaburi) Baghosha!
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
The dread of criticism is the death of genius, William Gilmore Simms.Ina maana wewe unajua sana maisha yangu hadi kusema sijawahi fiwa? Wewe ni mjinga mno. Hali ya uchumi kuanzia marehemu hadi familia yake ndo huamua mazishi yaweje. Wadau huchangia kulingana na jinsi wanavyoitazama familia. Kwa wakristo ni hadi makanisani hali huwa hivyo. Akifa mtu mwenye pesa atazikwa na maaskofu wakishirikiana. Akifa maskini atazikwa na katekista tena kwa kujilazimisha. Na itafuatiliwa kwanza kama alikuwa anashiriki mambo ya kanisa.
money talks.Kwani watakuwa wanalifungua kumuangalia Marehemu hadi waweke slide?
Umeona ee...Yaani, hata UFE KWA NJAA, lakini msibani kwako KUTAPIKWA CHAKULA tu.
DaaahhWadau wakikwambia wewe mfiwa jukumu lako ni kulia tuu... mengine hayo usituingilie tafadhali tuache je, utawazuia?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wewe K acha matusi ya kimaku hayo. Halafu pia andika kwa kiswahili ili ujiepushe na aibu ndogondogo.The dread of criticism is the death of genius, William Gilmore Simms.
Unaleta vitu vya kufikirika ambavyo huwezi kuvithibitisha kama viko kwenye sera, miongozo au kanuni za kitaasisi kama Makanisa uliyoyataja.
Shida uko mwezini nadhani, utakuwa na utulivu wa akili ukimaliza mzunguko wako.
Stick to dialectical materialism (a philosophical approach to reality) when engaging in critical discourse like this.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
wewe Msabato si ajabu.
Kuna mmoja walirusha drone camera tokea Mwanza hadi Itiryo. Walilipia kibali kabisa hususan Kirumi ambako hutakiwi kupiga picha lakini walirusha drone. Rambirambi ina nguvu ya turufu kuliko rushwa za madaktari na manesi kumtendea mgonjwa wema.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
MamaSamia2025 unapigwa trees! Ulikuta mjadala unafanyika kiistaarabu uka-rush kuingiza matusi, what did you expect of me to deal with halfwit? Iron sharpens iron. Not my style to exchange with underdogs who aren't ready to open to ideas. Next time use your intellect than your bottom to think as I can't be drugged to risk my masculinity for your femininity for paraphilia. You identify with ID that can't suit your demeanour either. Try being resilient in these forums. Child greater growth.Wewe K acha matusi ya kimaku hayo. Halafu pia andika kwa kiswahili ili ujiepushe na aibu ndogondogo.
Ukristo gani ulisema hayo? Hizo ni mataratibu za makanisa tu. Unajua kama kuna taratibu za kanisa ambazo ukristo haukuziongelea?Wakristo tuna ujinga mwingi mno linapokuja suala la mazishi na harus
Wewe ni K tu kama wale wa Mwananyamala. Badili ID andika "K ya Rorya"MamaSamia2025 unapigwa trees! Ulikuta mjadala unafanyika kiistaarabu uka-rush kuingiza matusi, what did you expect of me to deal with halfwit? Iron sharpens iron. Not my style to exchange with underdogs who aren't ready to open to ideas. Next time use your intellect than your bottom to think as I can't be drugged to risk my masculinity for your femininity for paraphilia. You identify with ID that can't suit your demeanour either. Try being resilient in these forums. Child greater growth.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app