Misiba ina gharama kubwa kuliko ankara za tiba

Hakuna mfiwa anayejigharamia msiba kama ulivyosema "huendana na hali ya kiuchumi ya familia" hiyo iko Ulaya. Hapa Tz msiba hubebwa na wadau kwenye vikundi. Hujafiwa wewe vuta subra uone... au hushiriki misibani ukajuwa mfumo ulivyo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ina maana wewe unajua sana maisha yangu hadi kusema sijawahi fiwa? Wewe ni mjinga mno. Hali ya uchumi kuanzia marehemu hadi familia yake ndo huamua mazishi yaweje. Wadau huchangia kulingana na jinsi wanavyoitazama familia. Kwa wakristo ni hadi makanisani hali huwa hivyo. Akifa mtu mwenye pesa atazikwa na maaskofu wakishirikiana. Akifa maskini atazikwa na katekista tena kwa kujilazimisha. Na itafuatiliwa kwanza kama alikuwa anashiriki mambo ya kanisa.
 
The dread of criticism is the death of genius, William Gilmore Simms.

Unaleta vitu vya kufikirika ambavyo huwezi kuvithibitisha kama viko kwenye sera, miongozo au kanuni za kitaasisi kama Makanisa uliyoyataja.

Shida uko mwezini nadhani, utakuwa na utulivu wa akili ukimaliza mzunguko wako.

Stick to dialectical materialism (a philosophical approach to reality) when engaging in critical discourse like this.

Wewe K acha matusi ya kimaku hayo. Halafu pia andika kwa kiswahili ili ujiepushe na aibu ndogondogo.
 
MamaSamia2025 unapigwa trees! Ulikuta mjadala unafanyika kiistaarabu uka-rush kuingiza matusi, what did you expect of me to deal with halfwit? Iron sharpens iron. Not my style to exchange with underdogs who aren't ready to open to ideas. Next time use your intellect than your bottom to think as I can't be drugged to risk my masculinity for your femininity for paraphilia. You identify with ID that can't suit your demeanour either. Try being resilient in these forums. Child greater growth.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kuna majeneza ya 80 elfu, mashada ya majani, msosi dagaa ndoo ya 20,000, nyanya na vitunguu mix mafuta ya kupikia Kwa pamoja 10,000 na unga madebe mawili Kwa elf 40 na kukodi sahani mia Kwa elf kumi. Jumla 160,000 au tuseme jumla laki 2 marehem anapumzika.

Ukiona michakato mingi jua wanapesa na hiyo Mimi Huwa sitoi rambirambi. Nikula nyama na konyagi Kwa sana
 
Kwa hili wakristo tumefeli sana.utakuta familia ya kimaskini kabisa pesa matibabu ya mgonjwa ilikosekana ajabu siku ya msiba mtu mmoja anasimama na kusema fateni ng'ombe kwangu msiba upate ng'ombe! Mwingine atasimama bila aibu kabisa anajitoa jeneza na sanda nitanunua mwenyewe Ili Hali Wakati anaigua hata mia ya Panadol ilikosekana!
Nilichojifunza ni hiki

Mtu yupo tyr kujitoa siku ya msiba ka sababu anajua fika kabisa kwamba msaada aloo toa siku unazikwa hata kaa atoe Tena kwako ndo mmemalizana
Maana kipindi unaumwa huenda gharama zingeozeka zaidi maybe mkaambiwa mpelekeni India nk
 
MamaSamia2025 unapigwa trees! Ulikuta mjadala unafanyika kiistaarabu uka-rush kuingiza matusi, what did you expect of me to deal with halfwit? Iron sharpens iron. Not my style to exchange with underdogs who aren't ready to open to ideas. Next time use your intellect than your bottom to think as I can't be drugged to risk my masculinity for your femininity for paraphilia. You identify with ID that can't suit your demeanour either. Try being resilient in these forums. Child greater growth.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wewe ni K tu kama wale wa Mwananyamala. Badili ID andika "K ya Rorya"
 
Back
Top Bottom