Mishikaki ya Panya iko bomba

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
I knew cooked field ratshttp://www.odditycentral.com/pics/cooked-rats-actually-look-pretty-good.html were eaten in Asian countries like Thailand and Vietnam (they look very tasty too), but it seems they’re regarded as a delicacy in African countries like Malawi.


Living in one of the world’s poorest countries, the people of Malawi have to survive any way they can, so when they’re confronted with the choice of eating mice or starving to death, you can guess what they opt for.
Young children chase the “tasty” critters through the corn fields, right after the harvest, when the mice are nice and fat. To easily catch Kapuku, the most popular edible species of mice, locals set up traps throughout the fields. They fill large clay vats with water and smear them with fried corn husks. As the rats fight over the husks, some of them fall in and drown.
The mice are cooked, salted or dried, then strung on sticks and sold as delicacies. Yum!
cooked-rats.jpg

cooked-rats2.jpg

cooked-rats3.jpg

cooked-rats4.jpg
 
Kwa hiyo huyu mtu aliyeandika hii:
<hr> <!-- message --> <!-- google_ad_section_start -->I knew cooked field rats were eaten in Asian countries like Thailand and Vietnam (they look very tasty too), but it seems they're regarded as a delicacy in African countries like Malawi.

Anaona ni sawa kama nchi za Asia wakila panya lakini waAfrika wakila ni kwa sababu wanashida. Jamani!! Na wao wanavyokula chura Ufaransa?
 
Panya nimekula sana, ni nyama bomba sana ikichomwa. Saranda ndio sehemu ambayo nilipenda kula nikisafiri kwa treni ya kati enzi hizo.
 
I knew cooked field ratshttp://www.odditycentral.com/pics/cooked-rats-actually-look-pretty-good.html were eaten in Asian countries like Thailand and Vietnam (they look very tasty too), but it seems they're regarded as a delicacy in African countries like Malawi.


Living in one of the world's poorest countries, the people of Malawi have to survive any way they can, so when they're confronted with the choice of eating mice or starving to death, you can guess what they opt for.
Young children chase the "tasty" critters through the corn fields, right after the harvest, when the mice are nice and fat. To easily catch Kapuku, the most popular edible species of mice, locals set up traps throughout the fields. They fill large clay vats with water and smear them with fried corn husks. As the rats fight over the husks, some of them fall in and drown.
The mice are cooked, salted or dried, then strung on sticks and sold as delicacies. Yum!
cooked-rats.jpg

cooked-rats2.jpg

cooked-rats3.jpg

cooked-rats4.jpg

Si jambo la Kustajabisha kwa Nchi kama Malawi au Zambia wanakula Panya weupe hao Wazambia mie nilikuwepo Zambia Mwaka 1981 wakati nilipokuwa na miaka 17 niliona kitucha ajabu huko Zambia watu kula Panya weupe na Majongoo yanayoanguka kwenye Mti wa Muembe wakati wa mvua zikinyesha wenyewe wakasema hao Panya Weupe ni watamu kutokana na Dini yangu na ninapotoka DAR kwangu mimi ilikuwa ni kitu cha ajabu mimi sikuweza hata kidogo kula hao Panya weupe kweli inasikitisha Wanyama wapo wa kumwaga lakini watu wanakula vitu vya ovyo ovyo kama Wanigeria wanakula Paka,Wamakonde hapo kwetu wanakula Mbwa Wahehe wanakula Mbwa Wakongo wanakula Machipanze,Wajapan wanakula Nyoka ,vyura,Wafilipino wanakula kila kitu Ehh kazi kweli katika hii Dunia Mungu atasaidie Jamani Tuache kula vitu vya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom