Mishahara ya Wabunge TZ, KE na UG

Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

kwa hiyo uganda na kenya wakila mavi na sisi tule???
 
Huyu mleta mada kama sio Shibuda basi atakuwa ni mmoja wa wabunge wanaoshabikia posho utadhani wao masoko wanayenda kununua chakula (mfano 1 tu) ni tofauti na watanzania wengine!

Tafadhali rudi kivingine kutushawishi kama wadau walivyokueleza!
 
"Kigumuuuuuu chama cha mapinduaaaaaaaa" ohooo am soriiii wanajamvi nimekosea!! ni "kidumu chama cha mapinduzi" wabunge wazee wa mihela kureni raha jamani? tatizo watu hawajui kuwa dodoma ndo mji ghali kuliko yote?

nimepita juzi huko... sukari elfu 20 kwa kilo, nyama choma zileeee mnazokulaga elfu 45 mguu mzimaaaaa wa mbuzi...gesti huko bila laki tano hujalala kwa siku, tena hiyo ni ile ambayo hata chai ya asubuhi hupewi na TV hamna chumbani.

Ila aaaaaaah, sisi huku Ludewa na Nyamangóro na hata pande za nachingwea burdaaaaani... vitu mbona bei cheeeeeee? unga kilo tsh 120, sukari ukienda kwa mangi tsh 250, ukiongea nae vizuri anakupa bure tuuuu... hata vifaa vya ujenzi huku ni tambalale... bati unapata kwa buku tu, sementi ni 750...

so ndo maana hamna umuhimu wa sisi kuwa na mihela yote hiyoooo...kuleni raha wenzetu maana life huko tight..
Afu wanafiki wanasema UDOM, CBE zipo dodoma hivo nazo zifikiliwe katika gawio kama la bunge... hawajui historia ya nchi hao, hizo zipo mkoa tofauti tu unaopakana na dodoma ambapo life ni lainiiiiii kama unanawa vilee...

heshimaaaaa mbeleeeeeee makinda na mwenzio katibu kwa kula shavuuuuuu na kuwapa shavu wanene wetu, tunaona maendeleo motomoto majimboni huku ni full maji na maziwa, lami hadi milangoni..

wanajamvi kwa hishimaaaa na taadhima turuhusu hawa jamaa wale rahaaaaa
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Ni bora nipewe kipofu nimuongoze lakini si kupewa mtu mpumbavu kama wewe ambaye siku hizi umeacha kufikiria kwa masaburi ila unafikiria kwa kutumia kile kitu kinachotoka kwenye masaburi
 
Huyu mleta mada kama sio Shibuda basi atakuwa ni mmoja wa wabunge wanaoshabikia posho utadhani wao masoko wanayenda kununua chakula (mfano 1 tu) ni tofauti na watanzania wengine!

Tafadhali rudi kivingine kutushawishi kama wadau walivyokueleza!

nakuunga mkono mkuu.
 
Jirani yako akiwa mwizi au dhurumati haiaralisi wewe kuwa mwizi! Ina maana wabunge wa tanzania nao watuibie kama jirani zetu wanavyo iba? na je, kazi ubunge ckazi kama kazi zingine.
 
Hao ndo wale ambao hata haki za mashoga wanazitaka kwssbu UK imeendelea!achana na ug n ke angalia situ ya tz na matatizo yetu then ndo uandike huo mlingano wako....sio lazima kila ktu tuige vingine waige kwetu wanajamvii.
 
Solution ya ongezeko la posho za wabunge mbona ni rahisi.

Walimu wote kuanzia ngazi ya cheti mpaka wahadhiri wa vyuoni kugoma maana maisha yamepanda na nyumba za kupanga maeneo wanayoishi zimepanda sana bei. Bila ya laki 200,000 kwa mwezi hupati nyumba ya kuishi. Kuna ndugu na jamaa zao pia na wanataka kuchangia harusi na misiba.

Madakatari wote na wahudumu sekta ya afya kugoma maana maisha yamepanda na nyumba za kupanga maeneo tunayoishi zimepanda sana bei. Bila ya laki 200,000 kwa mwezi hupati nyumba ya kuishi. Kuna ndugu na jamaa zao pia na wanataka kuchangia harusi na misiba.

Polisi na wafanyakazi wote sekta ya usalama wa raia, jeshi na mahakama kugoma maana maisha yamepanda na nyumba za kupanga maeneo tunayoishi zimepanda sana bei. Bila ya laki 200,000 kwa mwezi hupati nyumba ya kuishi. Kuna ndugu na jamaa zao pia na wanataka kuchangia harusi na misiba.
 
Vilevile jaribu kuangalia na mchango wa wabunge katika kuleta maendeleo ya nchi na wananchi. Huwezi fananizha wabunge wa kenya na ug. Katika kuwaletea wananchi maendeleo. Wabunge wetu ni wajumbe ndiyo kwa kila jambo liwe baya au zuri. Nafikiri iwapo wangekuwa wanatenda yanayostahili kwa wananchi kuwaongezea posho si tatizo lakini kwa muktadha wa aina ya wabunge wetu, hawastahili hata kidogo kwani kila mara wao ndo wamekuwa wasaliti kwa waliowachagua.
 
:shock::mad::suspicious::angry::mad::A S thumbs_down:Weka mishahara ya walimu, madaktari, manesi, wafagiaji barabarani, mapolisi, polisi magereza, wafanyakazi wa mashirika yote ya umma, na vitengo nyeti.
Kwani wabunge ndio wafanyakazi wa nchi hii pekee?
Acha kuleta pumba hapa na uroho na ulafi wa hela za wananchi!
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Output ya wabunge wa hizo nchi mbili ni kubwa si unaona Uganda kila uchao mawaziri wanafukuzwa kwa utendaji mbovu na Kenya wamefanikisha kupata katiba safi hakukuwepo na taarabu na ngonjera kama bunge letu,.pia chumi za nchi hizo zipo juu angalia sarafu ya kenya ulinganishe na dola!!
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Mishahara na malipo mengine hayapimwi kwa kuwianisha na nchi mbalimbali, bali hali ya uchumi wa nchi ndio unaokuwa kipima joto cha upandishwaji wa mishahara na malupulupu mengine. Uchumi wa Kesnya huwezi kuulinganisha na uchumi wa Tanzania.

Kosa kubwa kutumia ulinganifu wa fedha ya nchi fulani na malipo ya hapa nchini. Mfumo wa kodi, huduma za kijamii na mengineyo ndiyo yanayokuwa kigezo cha misharaha na huduma nyingine.

Kwa mfano gharama za posta nashangaa Tanzania kuwa kubwa wakati hawana huduma ya kufikisha kwa wateja bali ni kuziweka kwenye masanduku na mteja mwenyewe kuzifuatia posta. Walioendelea mfano Marekani stamp ya 43ct inamfikishia barua nyumbani kwake.

Huu ni mfano tu wa kutotumia vigezo eti Kenya mishahara ya wbunge iko juu wakati hatulinganishi mambo mengine ya kiuchumi, huu ni mwono finyu mno. Tunakataa USHIBUDA kujaza matumbo na kutowajali wananchi waliowachagua.
 
Kosa kubwa sana kulinganisha thamani ya pesa ya nchi fulani na nchi yetu, si kipimo sahihi cha uchumi. Pesa yao ni ndogo sana kiuchumi kuliko tunavyofikiri. Naleta mfano hapa chini nadhani mtanielewa.

Nilikuwa taifa fulani kubwa na nikashawishiwa ninunue nyumba ambayo ingekuwa kama kitega uchumi ili niwapo kwangu Tanzania kila mwezi ningekuwa nakinga pesa. Utafiti niliofanya pesa niliyokuwa nayo ingenitosheleza tu kwa ajili ya down payment ili kupata nyumba na hivyo mortgage ingenigharimu miaka 15 - 30, maana yake pesa yote ingeishia kweneye down payemnt na malipo ya tenant yangeishia kwenye tax property, utility na mortgage.

Nikabadilisha mawazo na kuamua kurudi kujenga bongo, na pesa ambayo huko ughaibuni ingetumika tu kwa ajili ya down payment kupata nyumba ya mkopo, bongo imetosha kujenga nyumba nzuri na bora kuliko ile ya ughaibuni iliyojengwa kwa mbao, karatasi na plastic.

Unaweza pata picha pesa ya nchi fulani si kielelezo cha ulinganifu wa thamani na pesa yetu, ila tuangalie uchumi wa nchi yetu. Huko tunakofikiria wanapata sana hali yao ya maisha inasikitisha, haitoshi kabisa. Mfano commuter bus wastani wa $2 hii kwa bongo maana yake Tsh 3,000 kwa trip moja. Na hii commuter bus ni ya serikali na hii nauli anayolipa abiria ni kwa ajili ya mafuta tu, gharama nyingine serikali inachukua jukumu.

Tupange mishahara na posho kwa kutegemea maisha na uchumi wa nchi yetu badala ya kuchukulia upandishaji wa posho na mishahara kwa uhalali wa mipangilio ya nchi nyingine, hii si kiuchumi, bali ni ubinafsi na zaidi ulimbukeni. Hatutaki USHIBUDA, MAANA HAPA WATU WAKO BUNGENI KWA AJILI YA MASILAHI NA WALA SI KUWAWAKILISHA WANANCHI.

Serikali na idara mbalimbali ziko kila kona ya nchi ambazo ni jukumu lao la kuwatumikia wananchi, mbunge kazi yake kuwakilisha wananchi bungeni si kutoa huduma za kijamii kama wanavyojitetea.
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.

Ungeitendea haki hii post yako kama pia ungeweka mishahara ya nchi zote tatu kuanzia kima cha chini na hii ingeonyesha Watanganyika wanalipwa mishahara midogo sana ukilinganisha na Wakenya na Waganda. Kupanda kwa gharama za maisha hakuwaathiri Wabunge pekee yao bali Watanganyika wote hivyo Serikali ingetenda haki kama pia ingeamua kupandisha mishahara ya Wafanyakazi wote kwa kiwango kile kile cha posho za Wabunge lakini hawakufanya hivyo, hivyo kilichofanyika ni WIZI!!!!
 
Tunaomba uweke na mishahara ya wafanyakazi kama walimu wa nchi zote 3. weka na bajet zao na per capita income.
 
Kabla ya kutumia masaburi kufikiri, kwa akili yako ukiona jirani yako anampiga mtoto wake au mke wake nawe unafanya hivyo? Hao kujiongezea mishahara mikubwa sio jambo la kuigwa kwani kwa kufanya hivyo ni wazi hali ya mwananchi wa kawaida wa nchi hizo hudidimia.
Pili ukitaka kulinganisha basi ulinganishe kila sekta za Tz, Ke na Ug: kima cha chini cha mishahara, mapato mbalimbali kutoka sekta mbalimbali hususan sekta ya kilimo, nk. Usiangalie tu wabunge, waangalie vipato vya wanachi wote wa nchi hizo tatu.
 
Huyu mleta mada kama sio Shibuda basi atakuwa ni mmoja wa wabunge wanaoshabikia posho utadhani wao masoko wanayenda kununua chakula (mfano 1 tu) ni tofauti na watanzania wengine!

Tafadhali rudi kivingine kutushawishi kama wadau walivyokueleza!

Thats true
 
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars

Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month

Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000

Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000

House allowance = Sh. 70,000

Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.

Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000

Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)

TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.

My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.
NM,
tatizo sio kiwango, hata wakilipwa trilioni hakuna tatizo. Issue ni kuwa je hali ya uchumi inaruhusu? Swali la msingi sana hili!
 
Back
Top Bottom