Mishahara ya part-time lecturers iwe na bands mbili, ambazo ni 25% na 50% ya monthly salary ya full-time lecturers

z12f

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
638
469
Mishahara ya part-time lecturers iwe na bands mbili.

Band ya kwanza iwe 25% ya monthly salary ya full-time lecturers.

Na band ya pili iwe 50% ya monthly salary ya full-time lecturers.

Na mikataba yao iwe one year renewable depending on kama wataendelea kuhitajiwa.

Wanaweza wawe au wasiwe pensionable au na wawe au wasiwe na health insurance.

Isiwe kama sasa ambapo wanalipwa 20,000 - 30,000 TZS per hour of teaching, plus a transport allowance.

Hii ya sasa ina wafanya part-time lecturers wawe na kipato kidogo kwa mwezi.

Tukifuata mfumo huu mpya, tutapunguza shortage ya lecturers, na tuta improve quality ya lecturers, na quality of higher education in Tanzania.

Pia tuta improve standard of living ya part-time lecturers.

Huu muundo unaweza kutumika kwa part-time employees/workers wa maeneo na sekta nyingine za umma na binafsi nchini, na barani Afrika, na duniani (kwenye nchi ambazo haupo).

Ni vizuri serikali, na higher education institutions, zika implement huu mfumo mpya wa kuwalipa part-time lecturers, kabla ya mwaka huu kuisha.
 
Mbona Kuna vyuo wanalipwa mshahara Kama wa full time Lecturer.
Kuna part-time, na kuna full-time wenye mikataba ya miaka miwili.

Wewe nadhani unaongelea full-time wenye mikataba ya miaka miwili.

Mimi naongelea part-time lecturers, ambao wana mkataba wa mwaka moja.
 
Mishahara ya part-time lecturers iwe na bands mbili.

Band ya kwanza iwe 25% ya monthly salary ya full-time lecturers.

Na band ya pili iwe 50% ya monthly salary ya full-time lecturers.

Na mikataba yao iwe one year renewable depending on kama wataendelea kuhitajiwa.

Wanaweza wawe au wasiwe pensionable au na wawe au wasiwe na health insurance.

Isiwe kama sasa ambapo wanalipwa 20,000 - 30,000 TZS per hour of teaching, plus a transport allowance.

Hii ya sasa ina wafanya part-time lecturers wawe na kipato kidogo kwa mwezi.

Tukifuata mfumo huu mpya, tutapunguza shortage ya lecturers, na tuta improve quality ya lecturers, na quality of higher education in Tanzania.

Pia tuta improve standard of living ya part-time lecturers.

Huu muundo unaweza kutumika kwa part-time employees/workers wa maeneo na sekta nyingine za umma na binafsi nchini, na barani Afrika, na duniani (kwenye nchi ambazo haupo).

Ni vizuri serikali, na higher education institutions, zika implement huu mfumo mpya wa kuwalipa part-time lecturers, kabla ya mwaka huu kuisha.
Ndoto yangu kila siku kama siku moja nitarudi shule na kusoma hadi elimu ya juu natamani sana kuja kuwa lecturer na daktari wa wanawake.
 
Mkuu niambie kidogo kuhusiana na hawa wanaoitwa Tutors/Laboratory Scientists. Vipi wao wana fursa vyuoni?

Back
Top Bottom