Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
- Thread starter
- #21
nashangaa kwanini mnamshambulia aliyeleta swali,hiyo ni public company na iko financed na walipa kodi na ni sawa na private company lazima kusema salary za CEOs kwa shareholders wake,sasa kwanini salary & allowances viwe siri? na sio ndio nyie mnashinda humu JF na vuvuzela zenu za kulia ufisadi,kesho mkiambiwa mkurugenzi analipwa allowance ya nyumba na gari inayozidi mishahara ya madaktri 100 combined naomba msilalamike na iendelee kuwa siri..mwenye jibu alete hapa na mjue mishahara & allowances sio siri na shareholders au public wana haki ya kujua kama wana interest na hilo shirika.
Finally kuna mtu aliye na uelewa humu ndani! Kitu nimegundua wengi humu JF ni WASALITI! Wana mioyo ya kifisadi...sasa sijui wanapigania nini. Kuna uwezekano wengi humu wako katika hizi public bodies na wanakomba hela mbaya. Alafu wanajifanya kupiga kelele EPA, nk. Haya ndo yale yale yaliyomkuta Slaa na mishahara ya wabunge! aibu....