PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 829
- 443
Heshima mbele Wanajamvi!
Ndugu zanguni poleni na kazi la kujiletea maisha bora kwa Ari mpya na kasi zaidi kama FastJet alivotuhadaa.
Nipo mbele yenu kutaka niongezewe elimu juu ya mishahara,posho na stahili nyinginezo ambazo madiwani wetu Tanzania hupokea kwa mwezi.
Hili linatokana na mshahara anaolipwa mbunge kuwa mkubwa ukijumlisha posho zote kwa mwezi wanajikusanyia mil.7 sasa je Hawa wenzetu wanapokea bei gani?
Nitanguliza shukrani!
Karibu wajuvi.