mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

Bulah

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
247
56
jamani kwa anayejua mishahara mipya baada ya kuongezwa au ni asilimia ngapi iliyoongezwa mwezi huu wa saba atujuze au mwenye waraka

nawasilisha...
 
Nadhani mkuu hata huo waraka unaweza usikusaidie kimeongezwa kidogo ili watumishi wote walipe kodi. Yaani lengo kila mtumishi alipwe kuanzia 170000 halafu akatwe kodi.
 
we ongeza 20% ya mshahara wa awali utapata jibu. ongezeko hili ni kwa wale wakuanzia kima cha chini. ongezeko litazidi kupungua kadri mshahara unavyozidi kuwa mkubwa lakini ongezeko halitapungua 15% na halitozidi 20% hivyo mahesabu yanacheza hapo.
 
Kidundumila, Asante kwa ufafanuzi mzuri.
we ongeza 20% ya mshahara wa awali utapata jibu. ongezeko hili ni kwa wale wakuanzia kima cha chini. ongezeko litazidi kupungua kadri mshahara unavyozidi kuwa mkubwa lakini ongezeko halitapungua 15% na halitozidi 20% hivyo mahesabu yanacheza hapo.
 
Haiwezekani Watanzania wahangaike huku na kule kutafuta Waraka wa mishahara ambayo ni haki yao kufahamu na kuweza kupanga bajeti za maisha haya magumu kama chuma! Mimi naona Serikali yetu ni kama Punda aliyekufa :deadhorse:sasa watanzania tunajaribu kumpiga viboko ili atembee! Yeyote aliyefanikiwa kupata waraka huu atusaudue wana JF tafadhali!
 
we ongeza 20% ya mshahara wa awali utapata jibu. ongezeko hili ni kwa wale wakuanzia kima cha chini. ongezeko litazidi kupungua kadri mshahara unavyozidi kuwa mkubwa lakini ongezeko halitapungua 15% na halitozidi 20% hivyo mahesabu yanacheza hapo.

Well said! Thanx
 
Back
Top Bottom