Mishahara mipya Serikalini yawekwa wazi - Kima cha chini kutoka Sh170,000 hadi hadi Sh240,000

Status
Not open for further replies.

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
Mishahara mipya Serikalini 2013 yawekwa wazi - Kima cha chini sasa chaongezeka kutoka Sh170,000 hadi Sh240,000 Wengine waongezewa asilimia 8 Mei mosi mwaka huu akiwa mkoani Mbeya, Rais Jakaya Kikwete, aliahidi unafuu wa maisha kwa wafanyakazi kwa kuangalia uwezekano pia wa kupinguza kodi kwenye mishahara, Lipa Kadri Unavyopata (PAYE) WALIMU Kima cha chini cha mshahara kimepanda kutoka sh223,000 hadi sh296,000 Afya Kima cha chini cha mshahara kimepanda kutoka sh221,500 hadi sh261,000 Mahakama Kima cha chini cha mshahara kimepanda kutoka sh469,000 hadi sh510,000 Ukaguzi Mshahara kwa wakaguzi katika ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa hesabu za Serikali (SAIS) - Kima cha chini cha mshahara kimepanda kutoka sh187,000 hadi sh249,000 Mwanasheria Mkuu Kima cha chini cha mshahara kimepanda kutoka sh310,000 hadi sh360,000 Serikali Kuu Mshahara kwa wafanyakazi wa serikali Kuu - Kima cha chini cha mshahara kimepanda kutoka sh170,000 hadi sh240,000 Bunge Kima cha chini cha mshahara kimepanda kutoka sh170,000 hadi sh240,000 Kilimo Mshahara kwa watafiti wa kilimo na mifugo, Kima cha chini cha mshahara kimepanda kutoka sh890,000 hadi sh916,000 Kuhusu kuongeza mishahara, Rais Kikwete aliahidi wafanyakazi wote kwamba Serikali itaendelea kuiongeza kulingana na hali ya uchumi wan chi. Waraka huo wa Mishahara Mipya unaonyesha kuwa mishahara mipya kwa watumishi wa Serikali kada ya masharti (operational service), ngazi ya mshahara na mshahara mpya: TGOS A (1. Ni sh240,000) hadi TGOS C12 (ni sh592,000) Watumishi wa Serikali wenye taaluma mbalimbali; TGS A (1. Ni sh249,000) hadi TGS J (ni sh2,692,000) Mishahara ya Walimu; TGTS A (1. Ni sh296,000) hadi TGTS C, H,&I-4 (ni sh2,730,000) Watumishi wa Afya wa masharti (Operational Service); TGHOS A (1. Ni sh261,000) hadi TGHOS C10 (ni sh598,000) Watumishi wa sekta ya Afya kada ya masharti ya pensheni na malipo ya uzeeni TGHS A (1. Ni sh351,000) hadi TGHS L (ni sh3,400,000) Watumishi wa Mahakama; TJS1 (1.1 ni sh510,000) hadi TJS10 (ni sh4,600,000) Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali; AGCS1 (1.1 ni sh360,000) hadi AGCS13 (ni sh5,580,000) Wafanyakazi wanaofanya utafiti wa kilimo na Mifugo; TGRS A ( A.1 ni sh916,000) hadi TGRS G (I ni sh3,100,000) Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge kada ya masharti (operational service) PSOS A (A.1 ni sh240,000) hadi PSOS C (C.12 ni sh592,000) Wafanyakazi wenye taaluma mbalimbali Ofisi za Bunge; PSS A (A.1 sh249,000) hadi PSS L ni (sh3,100,000) Wafanyakazi wa kada ya Wakaguzi katika Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali; SAIS A (A.1 ni sh249,000) hadi SAIS H (G.7 ni sh1,972,000) © 2013 MCL

===
Kwa ufupi
"Vilevile, mishahara ya watumishi wengine wa umma imeongezwa kwa wastani wa asilimia 8.41. Waraka namba moja kwa watumishi wa umma uliotolewa na Katibu Mkuu, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, George Yambesi Julai 2 mwaka huu, unaeleza kuwa marekebisho hayo ya mishahara yatahusu watumishi wa serikali kuu na watumishi wa serikali za mitaa."

Dar. Serikali imetangaza mishahara mipya kwa watumishi wa umma itakayoanza kutumika mwezi huu, huku kima cha chini kikiongezwa kwa asilimia 41.18 kutoka Sh 170,000 hadi Sh240,000.
Vilevile, mishahara ya watumishi wengine wa umma imeongezwa kwa wastani wa asilimia 8.41. Waraka namba moja kwa watumishi wa umma uliotolewa na Katibu Mkuu, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, George YambesiJulai 2 mwaka huu, unaeleza kuwa marekebisho hayo ya mishahara yatahusu watumishi wa serikali kuu na watumishi wa serikali za mitaa.
Wengine watakaonufaika na marekebisho hayo ni watumishi walioshikizwa kwenye taasisi za umma na watumishi ambao watakuwa kwenye likizo inayoambatana na kuacha kazi, kustaafu kazi au kumaliza mikatababaada ya Julai mosi mwaka huu.
Waraka huo umeonyesha kuwa watumishi wa serikali ambao wanapata mishahara binafsi isiyo ndani ya viwango vya mishahara ya serikali hawatahusika na marekebisho hayo.
Mei 29 mwaka huu, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, aliliambia Bunge, kwamba Serikali imekamilisha majadiliano ya kuongeza kima cha chini cha mshahara katika sekta 12 binafsi, kitakachoanza kutumika rasmi Julai mosi.
Waziri Kabaka alitaja sekta hizo kuwa ni ya Ujenzi, Shule Binafsi, Nishati, Viwanda na Biashara, Hoteli na Huduma za Majumbani, Ulinzi Binafsi, Madini, Afya, Uvuvi na Huduma za Majini, Usafirishaji, Mawasiliano na Kilimo. Kwa mujibu wa Kabaka, mishahara imepanda kwa kiwango cha asilimia kati ya 21na 65 huku Afya ikiongoza kwa kuongezwa ikifuatiwa na sekta ya hoteli na huduma za nyumbani yenye asilimia 55.
Mei mosi mwaka huu akiwa mkoani Mbeya, Rais Jakaya Kikwete, aliahidiunafuu wa maisha kwa wafanyakazi kwa kuangalia uwezekano pia wa kupunguza kodi kwenye mishahara, Lipa Kadiri Unavyopata (PAYE).
Kuhusu kuongeza mishahara, Rais Kikwete aliahidi wafanyakazi wote kwamba Serikali itaendelea kuiongeza kulingana na hali ya uchumi wa nchi. Waraka huo unaonyesha kuwa mishahara mipya kwa watumishi wa serikali kada ya masharti (operational service), ngaziya mshahara na mshahara mpya kwenye mabano ni;
TGOS A
TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh 307,200), TGOS A 14(Sh312,800), TGOS A 15(Sh 318,400), TGOS A 16(Sh324,000), TGOS A 17(Sh329,600) na TGOS A 18(Sh335,200).
TGOS B
TGOS B 1. (Sh347,000), TGOS B 2. (Sh356,500) TGOS B 3 . (Sh366,000), TGOS B 4 . (Sh375,500), TGOS B 5. (Sh385,000), TGOS B 6. (Sh394,500), TGOS B 7. (Sh404,000), TGOS B 8. (Sh413,500), TGOS B 9. (Sh423,000), TGOS B 10. (Sh432,500), TGOS B 11 . (Sh442,000) na TGOS B 12. (Sh451,500).
TGHS I (Sh 2,800,000).
TGHS J
TGHS J (Sh 2,900,000)
TGHS K
TGHS K (Sh 3,100,000)
TGHS L
TGHS L (Sh 3,400,000)
Watumishi wa Mahakama
TJS 1
TJS 1.1. (Sh 510,000), TJS 1.2. (Sh 535,000), TJS 1.3. (Sh 560,000), TJS 1.4. (Sh 585,000), TJS 1.5. (Sh 610,000), na TJS 1.6. (Sh 635,000) na TJS 1.7. (Sh 660,000).
TJS 2
TJS 2.1. (Sh 770,000), TJS 2.3. (Sh 805,000), TJS 2.3. (Sh 840,000), TJS 2.4. (Sh 875,000), TJS 2.5. (Sh 910,000), TJS 2.6. (Sh 945,000), na TJS 2.7. (Sh 980,000).
TJS 3
TJS 3.1. (Sh 1,075,000), TJS 3.2. (Sh 1,115,000), TJS 3.3. (Sh 1,155,000), TJS 3.4. (Sh 1,195,000), TJS 3.5. (Sh 1,235,000), TJS 3.6. (Sh 1,275,000), na TJS 3.7. (Sh 1,315,000).
TJS 4
TJS 4.1. (Sh1,420,000), TJS 4.2. (Sh 1,470,000), TJS 4.3. (Sh 1,520,000), TJS 4.4. (Sh 1,570,000), TJS 4.5. (Sh 1,620,000), TJS 4.6. (Sh 1,670,000), na TJS 4.7. (Sh 1,720,000).
TJS 5
TJS 5.1. (Sh 1,805,000), TJS 5.2. (Sh1,875,000), TJS 5.3. (Sh 1,945,000), TJS 5.4. (Sh 2,015,000), TJS 5.5. (Sh 2,085,000), na TJS 5.6. (Sh2,155,000).
TJS 6
TJS 6.1. (Sh 2,250,000), TJS 6.2. (Sh 2,350,000), TJS 6.3. (Sh 2,450,000), TJS 6.4. (Sh 2,550,000), na TJS 6.5. (Sh2,650,000).
TJS 7
TJS 7 (Sh 3,560,000)
TJS 8
TJS 8. (Sh 4,050,000)
TJS 9
TJS 9. (Sh 4,480,000)
TJS 10
TJS 10 (Sh 4,600,000)
Watumishi wa Ofisi ya MwanasheriaMkuu wa Serikali
AGCS 1
AGCS 1.1. (Sh 360,000), AGCS 1.2. (Sh 380,000), AGCS 1.3. (Sh 400,000), AGCS 1.4. (Sh 420,000), AGCS 1.5. (Sh 440,000), AGCS 1.6. (Sh 460,000), AGCS 1.7 (Sh 480,000).
AGCS 2
AGCS 2.1.(Sh 510,000), AGCS 2.2.(Sh 534,700), AGCS 2.3.(Sh 559,000), AGCS 2.4.(Sh 584,100), AGCS 2.5.(Sh 608,800), AGCS 2.6.(Sh 633,500), AGCS 2.7.(Sh 658,200).
AGCS 3
AGCS 3.1.(Sh770,000), AGCS 3.2.(Sh 802,000), AGCS 3.3.(Sh 834,000), AGCS 3.4.(Sh 866,000), AGCS 3.5.(Sh 898,000), AGCS 3.6.(Sh 930,000), na AGCS 3.7.(Sh 962,000).
AGCS 4
AGCS 4.1.(Sh 1,075,000), AGCS 4.2.(Sh 1,113,000), AGCS 4.3.(Sh 1,151,000), AGCS 4.4.(Sh 1,189,000), AGCS 4.5.(Sh 1,227, 000), AGCS 4.6.(Sh 1,265,000), AGCS 4.7.(Sh 1,303,000).
AGCS 5
AGCS 5.1.(Sh 1,420,000), AGCS 5.2.(Sh 1,464,000), AGCS 5.3.(Sh 1,508,000), AGCS 5.4.(Sh 1,552,000), AGCS 5.5.(Sh 1,596,000), AGCS 5.6.(Sh 1640,000), AGCS 5.7.(Sh 1,684,000).
AGCS 6
AGCS 6.1.(Sh 1,805,000), AGCS 6.2.(Sh 1,867,000), AGCS 6.3.(Sh 1,929,000), AGCS 6.4.(Sh 1,991,000), AGCS 6.5.(Sh 2,053,000), na AGCS 6.6.(Sh 2,115,000).
AGCS 7
AGCS 7.1.(Sh 2,240,000), AGCS 7.2.(Sh 2,329,000), AGCS 7.3.(Sh 2,418,000), AGCS 7.4.(Sh 2,507,000), na AGCS 7.5.(Sh 2,596,000)
AGCS 8
AGCS 8(Sh 3,020,000)
AGCS 9
AGCS 9(Sh3,560,000)
AGCS 10
AGCS 10 (Sh 4,230,000)
AGCS 11
AGCS 11(Sh 4,485,000)
AGCS 12
AGCS 12 (Sh 5,000,000)
AGCS 13
AGCS 13(Sh 5,580,000)
Wafanyakazi wanaofanya utafiti wa kilimo na mifugo
TGRS A
TGRS A 1. (Sh 916,000), TGRS A 2. (Sh926,500), TGRS A 3. (Sh 937,000), TGRS A 4. (Sh 947,500), TGRS A 5. (Sh 958,000), TGRS A 6. (Sh 968,500), TGRS A 7. (Sh 979,000), na TGRS A 8. (Sh 989,500).
TGRS B
TGRS B 1. (Sh 1,060,000), TGRS B 2. (Sh 1,072,700), TGRS B 3. (Sh 1,085,400), TGRS B 4. (Sh 1,098,100), TGRS B 5. (Sh 1,110,800), TGRS B 6. (Sh 1,123,500), TGRS B 7. (Sh 1,136,200), na TGRS B 8. (Sh 1,148,900).
TGRS C
TGRS C 1. (Sh 1,252,000), TGRS C 2. (Sh 1,268,400), TGRS C 3. (Sh 1,284,800), TGRS C 4. (Sh 1,301,200), TGRS C 5. (Sh 1,317,600), TGRS C 6. (Sh 1,334,000),TGRS C 7. (Sh 1,350,400), na TGRS C 8. (Sh 1,366,800).
TGRS D
TGRS D 1. (Sh 1,473,000),TGRS D 2. (Sh 1,495,000), TGRS D 3. (Sh 1,517,000), TGRS D 4. (Sh 1,539,000), TGRS D 5. (Sh 1,561,000), TGRS D 6. (Sh 1,583,000), TGRS D 7. (Sh 1,605,000), na TGRS D 8. (Sh 1,627,000).
TGRS E
TGRS E 1. (Sh 1,736,000), TGRS E 2. (Sh 1,774,500), TGRS E 3. (Sh 1,813,000), TGRS E 4. (Sh 1,851,500), TGRS E 5. (Sh 1,890,000), TGRS E 6. (Sh 1,928,500), TGRS E 7. (Sh 1,967,000), na TGRS E 8. (Sh 2,005,500).
TGRS F
TGRS F 1. (Sh 1,114,000), TGRS F 2. (Sh 2,183,000), TGRS F 3. (Sh 2,252,000), na TGRS F 4. (Sh 2,321,000).
TGRS G
TGRS G 1. (Sh 2,440,000), TGRS G 2. (Sh 2,522,000), na TGRS G 3. (Sh 2,604,000).
TGRS H
TGRS H (Sh 2,950,000)
TGRS I
TGRS I (Sh 3,100,000)
Wafanyakazi Ofisi ya Bunge kada yamasharti (operational service)
PSOS A
PSOS A.1. (Sh 240,000), PSOS A.2. (Sh 245,600), PSOS A.3. (Sh 251,200), PSOS A.4. (Sh 256,800),PSOS A.5. (Sh 262,400), PSOS A.6. (Sh 268,000), PSOS A.7. (Sh 273,500), PSOS A.8. (Sh 279,200), PSOS A.9. (Sh 284,800), PSOS A.10. (Sh 290,400), PSOS A.11. (Sh 296,000), PSOS A.12. (Sh 301,600),PSOS A.13. (Sh 307,200), PSOS A.14. (Sh 312,800), PSOS A.15. (Sh 318,400), PSOS A.16. (Sh324,000), PSOS A.17. (Sh 329,600), na PSOS A.18. (Sh 335,200).
PSOS B
PSOS B.1. (Sh 347,000), PSOS B.2. (Sh 356,500), PSOS B.3. (Sh 366,000), PSOS B.4. (Sh 375,500),PSOS B.5. (Sh 385,000), PSOS B.6. (Sh 394,500), PSOS B.7. (Sh 404,000), PSOS B.8. (Sh 413,500), PSOS B.9. (Sh 423,000), PSOS B.10. (Sh 432,500), PSOS B.11. (Sh 442,000), na PSOS B.12. (Sh 451,500).
PSOS C
PSOS C.1. (Sh 471,000), PSOS C.2. (Sh 482,000),PSOS C.3. (Sh 493,000), PSOS C.4. (Sh 504,000), PSOS C.5. (Sh 515,000), PSOS C.6. (Sh 526,000), PSOS C.7. (Sh537,000), PSOS C.8. (Sh 548,000), PSOS C.9. (Sh 559,000), PSOS C.10. (Sh 570,000), PSOS C.11. (Sh 581,000), na PSOS C.12. (Sh 592,000).
Wafanyakazi wenye taaluma mbalimbali Ofisi za Bunge
PSS A
PSS A. 1. (Sh 249,000), PSS A. 2. (Sh 255,600), PSS A. 3. (Sh 262,200), PSS A. 4. (Sh 268,800), PSS A. 5. (Sh 275,400), PSS A. 6. (Sh 282,000), PSS A. 7. (Sh 288,600), na PSS A. 8. (Sh 295,200).
PSS B
PSS B. 1. (Sh 311,000), PSS B. 2. (Sh 319,500), PSS B. 3. (Sh 328,000), PSS B. 4. (Sh 336,500), PSS B. 5. (Sh 345,000), PSS B. 6. (Sh353,500), PSS B. 7. (Sh 362,000), PSS B. 8. (Sh 370,500), PSS B. 9. (Sh 379,000), na PSS B. 10. (Sh387,500).
PSS C
PSS C. 1. (Sh 410,000), PSS C. 2. (Sh 420,000), PSS C. 3. (Sh 430,000), PSS C. 4. (Sh 440,000), PSS C. 5. (Sh 450,000), PSS C. 6. (Sh 460,000), PSS C. 7. (Sh 470,000), PSS C. 8. (Sh 480,000), PSS C. 9. (Sh 490,000), PSS C. 10. (Sh 500,000), PSS C. 11. (Sh 510,000), na PSS C. 12. (Sh 520,000).
PSS D
PSS D. 1. (Sh 567,000),PSS D. 2.(Sh 578,500),PSS D. 3. (Sh 590,000),PSS D. 4. (Sh 601,500),PSS D. 5. (Sh 613,000),PSS D. 6. (Sh 624,000),PSS D. 7. (Sh 636,000),PSS D. 8. (Sh 647,500),PSS D. 9. (Sh 659,000),PSS D. 10. (Sh 670,500),PSS D. 11. (Sh 682,000), na PSS D. 12. (Sh 693,500).
PSS E
PSS E. 1. (Sh751,000),PSS E. 2. (Sh 766,500),PSS E. 3. (Sh 782,000),PSS E. 4. (Sh 797,500),PSS E. 5. (Sh 813,000),PSS E. 6. (Sh 828,500),PSS E. 7. (Sh 844,000),PSS E. 8. (Sh 858,500),PSS E. 9. (Sh 875,000),PSS E. 10. (Sh 890,500),PSS E. 11. (Sh 906,000),na PSS E. 12. (Sh 912,500).
PSS F
PSS F. 1. (Sh 1,003,000),PSS F. 2. (Sh 1,022,000),PSS F. 3. (Sh 1,041,800),PSS F. 4. (Sh 1,061,200),PSS F. 5. (Sh 1,080,600),PSS F. 6. (Sh 1,100,000),PSS F. 7. (Sh 1,119,400),PSS F. 8. (Sh 1,138,800),PSS F. 9. (Sh 1,158,200),PSS F. 10. (Sh 1,177,600),PSS F. 11. (Sh 1,197,000),na PSS F. 12. (Sh 1,216,400).
PSS G
PSS G. 1. (Sh 1,299,000),PSS G. 2. (Sh 1,324,500),PSS G. 3. (Sh 1,350,000),PSS G. 4. (Sh 1,375,500),PSS G. 5. (Sh 1,401,000),PSS G. 6. (Sh 1,426,500),PSS G. 7. (Sh 1,452,000),PSS G. 8. (Sh 1,477,500),PSS G. 9. (Sh 1,503,000),PSS G. 10. (Sh 1,528,500),PSS G. 11. (Sh 1,554,000),na PSS G. 12. (Sh 1,579,500).
PSS H
PSS H. 1. (Sh 1,672,000),PSS H. 2. (Sh 1,722,000),PSS H. 3. (Sh 1,772,000),PSS H. 4. (Sh 1,822,000),PSS H. 5. (Sh 1,872,000),PSS H. 6. (Sh 1,922,000),PSS H. 7. (Sh 1,972,000),PSS H. 8. (Sh 2,022,000),PSS H. 9. (Sh 2,072,000),PSS H. 10. (Sh 2,122,000),PSS H. 11. (Sh 2,172,000),na PSS H. 12. (Sh 2,222,000).
PSS I
PSS I. 1. (Sh 2,317,000),PSS I. 2. (Sh 2,413,000),PSS I. 3. (Sh 2,509,000),naPSS I. 4. (Sh 2,605,000).
PSS J
PSS J (Sh 2,800,000)
PSS K
PSS K (Sh 2,900,000)
PSS L
PSS L (Sh 3,100,000)
Wafanyakazi wa kada ya Wakaguzi katika Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (SAIS)
SAIS G
SAIS G.1. (Sh1,299,000),SAIS G.2. (Sh 1,324,500),SAIS G.3. (Sh 1,350,000),SAIS G.4. (Sh 1,375,500),SAIS G.5. (Sh 1,401,000),SAIS G.6. (Sh 1,426,500),SAIS G.7. (Sh 1,452,000),SAIS G.8. (Sh 1,477,500),SAIS G.9. (Sh 1,503,000),SAIS G.10. (Sh 1,528,000),SAIS G.11. (Sh 1,554,000),na SAIS G.12. (Sh 1,579,000).
SAIS H
SAIS G.1. (Sh 1,672,000),SAIS G.2. (Sh 1,722,000),SAIS G.3. (Sh 1,772,000),SAIS G.4. (Sh 1,822,000),SAIS G.5. (Sh 1,872,000),SAIS G.6. (Sh 1,922,000),SAIS G.7. (Sh 1,972,000).

© 2013 MCL
 
haina maana wakati vitu vimepanda bei sana na kodi imepanda.
hivo wamejifanya kuwaongezea mshahara lakin hiyo ela yote wanaichukua kupitia kodi na gharama za maisha kupanda.
 
haina maana wakati vitu vimepanda bei sana na kodi imepanda.
hivo wamejifanya kuwaongezea mshahara lakin hiyo ela yote wanaichukua kupitia kodi na gharama za maisha kupanda.
Kwa akili yako unafikiri hela zote ni kulipa mishahala tu,basi pendekeza kila mtumishi alipwe one milioni halafu huduma zingine sijui utatoa kwa kutumia pesa gani.
 
madaktari.jpg

Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimuudumia mgonjwahospitalini hapo. Wafanyakazi wa sekta ya afya ni miongoni wa walio ongezewa mishahara na serikari katika bajeti ya mwaka wa fedha 2013/14. Picha na Maktaba
===
TGHS I (Sh 2,800,000).
TGHS J
TGHS J (Sh 2,900,000)
TGHS K
TGHS K (Sh 3,100,000)
TGHS L
TGHS L (Sh 3,400,000)
Watumishi wa Mahakama
TJS 1
TJS 1.1. (Sh 510,000), TJS 1.2. (Sh 535,000), TJS 1.3. (Sh 560,000), TJS 1.4. (Sh 585,000), TJS 1.5. (Sh 610,000), na TJS 1.6. (Sh 635,000) na TJS 1.7. (Sh 660,000).
TJS 2
TJS 2.1. (Sh 770,000), TJS 2.3. (Sh 805,000), TJS 2.3. (Sh 840,000), TJS 2.4. (Sh 875,000), TJS 2.5. (Sh 910,000), TJS 2.6. (Sh 945,000), na TJS 2.7. (Sh 980,000).
TJS 3
TJS 3.1. (Sh 1,075,000), TJS 3.2. (Sh 1,115,000), TJS 3.3. (Sh 1,155,000), TJS 3.4. (Sh 1,195,000), TJS 3.5. (Sh 1,235,000), TJS 3.6. (Sh 1,275,000), na TJS 3.7. (Sh 1,315,000).
TJS 4
TJS 4.1. (Sh1,420,000), TJS 4.2. (Sh 1,470,000), TJS 4.3. (Sh 1,520,000), TJS 4.4. (Sh 1,570,000), TJS 4.5. (Sh 1,620,000), TJS 4.6. (Sh 1,670,000), na TJS 4.7. (Sh 1,720,000).
TJS 5
TJS 5.1. (Sh 1,805,000), TJS 5.2. (Sh1,875,000), TJS 5.3. (Sh 1,945,000), TJS 5.4. (Sh 2,015,000), TJS 5.5. (Sh 2,085,000), na TJS 5.6. (Sh2,155,000).
TJS 6
TJS 6.1. (Sh 2,250,000), TJS 6.2. (Sh 2,350,000), TJS 6.3. (Sh 2,450,000), TJS 6.4. (Sh 2,550,000), na TJS 6.5. (Sh2,650,000).
TJS 7
TJS 7 (Sh 3,560,000)
TJS 8
TJS 8. (Sh 4,050,000)
TJS 9
TJS 9. (Sh 4,480,000)
TJS 10
TJS 10 (Sh 4,600,000)
Watumishi wa Ofisi ya MwanasheriaMkuu wa Serikali
AGCS 1
AGCS 1.1. (Sh 360,000), AGCS 1.2. (Sh 380,000), AGCS 1.3. (Sh 400,000), AGCS 1.4. (Sh 420,000), AGCS 1.5. (Sh 440,000), AGCS 1.6. (Sh 460,000), AGCS 1.7 (Sh 480,000).
AGCS 2
AGCS 2.1.(Sh 510,000), AGCS 2.2.(Sh 534,700), AGCS 2.3.(Sh 559,000), AGCS 2.4.(Sh 584,100), AGCS 2.5.(Sh 608,800), AGCS 2.6.(Sh 633,500), AGCS 2.7.(Sh 658,200).
AGCS 3
AGCS 3.1.(Sh770,000), AGCS 3.2.(Sh 802,000), AGCS 3.3.(Sh 834,000), AGCS 3.4.(Sh 866,000), AGCS 3.5.(Sh 898,000), AGCS 3.6.(Sh 930,000), na AGCS 3.7.(Sh 962,000).
AGCS 4
AGCS 4.1.(Sh 1,075,000), AGCS 4.2.(Sh 1,113,000), AGCS 4.3.(Sh 1,151,000), AGCS 4.4.(Sh 1,189,000), AGCS 4.5.(Sh 1,227, 000), AGCS 4.6.(Sh 1,265,000), AGCS 4.7.(Sh 1,303,000).
AGCS 5
AGCS 5.1.(Sh 1,420,000), AGCS 5.2.(Sh 1,464,000), AGCS 5.3.(Sh 1,508,000), AGCS 5.4.(Sh 1,552,000), AGCS 5.5.(Sh 1,596,000), AGCS 5.6.(Sh 1640,000), AGCS 5.7.(Sh 1,684,000).
AGCS 6
AGCS 6.1.(Sh 1,805,000), AGCS 6.2.(Sh 1,867,000), AGCS 6.3.(Sh 1,929,000), AGCS 6.4.(Sh 1,991,000), AGCS 6.5.(Sh 2,053,000), na AGCS 6.6.(Sh 2,115,000).
AGCS 7
AGCS 7.1.(Sh 2,240,000), AGCS 7.2.(Sh 2,329,000), AGCS 7.3.(Sh 2,418,000), AGCS 7.4.(Sh 2,507,000), na AGCS 7.5.(Sh 2,596,000)
AGCS 8
AGCS 8(Sh 3,020,000)
AGCS 9
AGCS 9(Sh3,560,000)
AGCS 10
AGCS 10 (Sh 4,230,000)
AGCS 11
AGCS 11(Sh 4,485,000)
AGCS 12
AGCS 12 (Sh 5,000,000)
AGCS 13
AGCS 13(Sh 5,580,000)
Wafanyakazi wanaofanya utafiti wa kilimo na mifugo
TGRS A
TGRS A 1. (Sh 916,000), TGRS A 2. (Sh926,500), TGRS A 3. (Sh 937,000), TGRS A 4. (Sh 947,500), TGRS A 5. (Sh 958,000), TGRS A 6. (Sh 968,500), TGRS A 7. (Sh 979,000), na TGRS A 8. (Sh 989,500).
TGRS B
TGRS B 1. (Sh 1,060,000), TGRS B 2. (Sh 1,072,700), TGRS B 3. (Sh 1,085,400), TGRS B 4. (Sh 1,098,100), TGRS B 5. (Sh 1,110,800), TGRS B 6. (Sh 1,123,500), TGRS B 7. (Sh 1,136,200), na TGRS B 8. (Sh 1,148,900).
TGRS C
TGRS C 1. (Sh 1,252,000), TGRS C 2. (Sh 1,268,400), TGRS C 3. (Sh 1,284,800), TGRS C 4. (Sh 1,301,200), TGRS C 5. (Sh 1,317,600), TGRS C 6. (Sh 1,334,000),TGRS C 7. (Sh 1,350,400), na TGRS C 8. (Sh 1,366,800).
TGRS D
TGRS D 1. (Sh 1,473,000),TGRS D 2. (Sh 1,495,000), TGRS D 3. (Sh 1,517,000), TGRS D 4. (Sh 1,539,000), TGRS D 5. (Sh 1,561,000), TGRS D 6. (Sh 1,583,000), TGRS D 7. (Sh 1,605,000), na TGRS D 8. (Sh 1,627,000).
TGRS E
TGRS E 1. (Sh 1,736,000), TGRS E 2. (Sh 1,774,500), TGRS E 3. (Sh 1,813,000), TGRS E 4. (Sh 1,851,500), TGRS E 5. (Sh 1,890,000), TGRS E 6. (Sh 1,928,500), TGRS E 7. (Sh 1,967,000), na TGRS E 8. (Sh 2,005,500).
TGRS F
TGRS F 1. (Sh 1,114,000), TGRS F 2. (Sh 2,183,000), TGRS F 3. (Sh 2,252,000), na TGRS F 4. (Sh 2,321,000).
TGRS G
TGRS G 1. (Sh 2,440,000), TGRS G 2. (Sh 2,522,000), na TGRS G 3. (Sh 2,604,000).
TGRS H
TGRS H (Sh 2,950,000)
TGRS I
TGRS I (Sh 3,100,000)
Wafanyakazi Ofisi ya Bunge kada yamasharti (operational service)
PSOS A
PSOS A.1. (Sh 240,000), PSOS A.2. (Sh 245,600), PSOS A.3. (Sh 251,200), PSOS A.4. (Sh 256,800),PSOS A.5. (Sh 262,400), PSOS A.6. (Sh 268,000), PSOS A.7. (Sh 273,500), PSOS A.8. (Sh 279,200), PSOS A.9. (Sh 284,800), PSOS A.10. (Sh 290,400), PSOS A.11. (Sh 296,000), PSOS A.12. (Sh 301,600),PSOS A.13. (Sh 307,200), PSOS A.14. (Sh 312,800), PSOS A.15. (Sh 318,400), PSOS A.16. (Sh324,000), PSOS A.17. (Sh 329,600), na PSOS A.18. (Sh 335,200).
PSOS B
PSOS B.1. (Sh 347,000), PSOS B.2. (Sh 356,500), PSOS B.3. (Sh 366,000), PSOS B.4. (Sh 375,500),PSOS B.5. (Sh 385,000), PSOS B.6. (Sh 394,500), PSOS B.7. (Sh 404,000), PSOS B.8. (Sh 413,500), PSOS B.9. (Sh 423,000), PSOS B.10. (Sh 432,500), PSOS B.11. (Sh 442,000), na PSOS B.12. (Sh 451,500).
PSOS C
PSOS C.1. (Sh 471,000), PSOS C.2. (Sh 482,000),PSOS C.3. (Sh 493,000), PSOS C.4. (Sh 504,000), PSOS C.5. (Sh 515,000), PSOS C.6. (Sh 526,000), PSOS C.7. (Sh537,000), PSOS C.8. (Sh 548,000), PSOS C.9. (Sh 559,000), PSOS C.10. (Sh 570,000), PSOS C.11. (Sh 581,000), na PSOS C.12. (Sh 592,000).
Wafanyakazi wenye taaluma mbalimbali Ofisi za Bunge
PSS A
PSS G. 1. (Sh 1,299,000),PSS G. 2. (Sh 1,324,500),PSS G. 3. (Sh 1,350,000),PSS G. 4. (Sh 1,375,500),PSS G. 5. (Sh 1,401,000),PSS G. 6. (Sh 1,426,500),PSS G. 7. (Sh 1,452,000),PSS G. 8. (Sh 1,477,500),PSS G. 9. (Sh 1,503,000),PSS G. 10. (Sh 1,528,500),PSS G. 11. (Sh 1,554,000),na PSS G. 12. (Sh 1,579,500).
PSS H
PSS H. 1. (Sh 1,672,000),PSS H. 2. (Sh 1,722,000),PSS H. 3. (Sh 1,772,000),PSS H. 4. (Sh 1,822,000),PSS H. 5. (Sh 1,872,000),PSS H. 6. (Sh 1,922,000),PSS H. 7. (Sh 1,972,000),PSS H. 8. (Sh 2,022,000),PSS H. 9. (Sh 2,072,000),PSS H. 10. (Sh 2,122,000),PSS H. 11. (Sh 2,172,000),na PSS H. 12. (Sh 2,222,000).
PSS I
PSS I. 1. (Sh 2,317,000),PSS I. 2. (Sh 2,413,000),PSS I. 3. (Sh 2,509,000),naPSS I. 4. (Sh 2,605,000).
PSS J
PSS J (Sh 2,800,000)
PSS K
PSS K (Sh 2,900,000)
PSS L
PSS L (Sh 3,100,000)
Wafanyakazi wa kada ya Wakaguzi katika Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (SAIS)
SAIS A
SAIS A.1. (Sh 249,000), SAIS A.2. (Sh 255,600), SAIS A.3. (Sh 262,200),SAISA.4. (Sh 268,800), SAIS A.5. (Sh 275,400), SAIS A.6. (Sh 282,000), SAIS A.7. (Sh 288,600), na SAIS A.8. (Sh 295,200)
SAIS B
SAIS B.1. (Sh 311,000), SAIS B.2. (Sh 319,500), SAIS B.3. (Sh 328,000), SAISB.4. (Sh 336,500), SAIS B.5. (Sh 345,000), SAIS B.6. (Sh 353,500), SAISB.7. (Sh 362,000), SAIS B.8. (Sh 370,500), SAIS B.9. (Sh 379,000), na SAIS B.10. (Sh387,500).
SAIS C
SAIS C.1. (Sh 410,000), SAIS C.2. (Sh 420,000), SAIS C.3. (Sh 430,000), SAISC.4. (Sh 440,000), SAIS C.5. (Sh 450,000), SAIS C.6. (Sh 460,000), SAISC.7. (Sh 470,000), SAIS C.8. (Sh 480,000), SAIS C.9. (Sh 490,000), na SAIS C.10. (Sh 500,000),SAIS C.1.1 (Sh510,000), na SAIS C.12. (Sh 520,000).
SAIS D
SAIS D.1. (Sh567,000), SAIS D.2. (Sh 578,500),SAIS D.3. (Sh 590,000),SAIS D.4. (Sh 601,500),SAIS D.5. (Sh 613,000),SAIS D.6. (Sh 624,500),SAIS D.7. (Sh 636,000),SAIS D.8. (Sh 647,500),SAIS D.9. (Sh 659,000),SAIS D.10. (Sh 670,500),SAIS D.11. (Sh 682,000),SAIS D.12. (Sh 693,500).
SAIS E
SAIS E.1. (Sh 751,000),SAIS E.2. (Sh 766,500),SAIS E.3. (Sh 782,000),SAIS E.4. (Sh 797,500),SAIS E.5. (Sh 813,000),SAIS E.6. (Sh 828,000),SAIS E.7. (Sh 844,000),SAIS E.8. (Sh 859,500),SAIS E.9. (Sh 875,000),SAIS E.10. (Sh 890,500),SAIS E.11. (Sh 906,000),na SAIS E.12. (Sh 912,500).
SAIS F
SAIS F.1. (Sh1,003,000),SAIS F.2. (Sh 1,022,400),SAIS F.3. (Sh 1,041,800),SAIS F.4. (Sh 1,061,200),SAIS F.5. (Sh 1,080,600),SAIS F.6. (Sh 1,100,000),SAIS F.7. (Sh 1,119,400),SAIS F.8. (Sh 1,188,800),SAIS F.9. (Sh 1,158,200),SAIS F.10. (Sh 1,177,600),SAIS F.11. (Sh 1,197,000), na SAIS F.12. (Sh 1,216,400).
SAIS G
SAIS G.1. (Sh1,299,000),SAIS G.2. (Sh 1,324,500),SAIS G.3. (Sh 1,350,000),SAIS G.4. (Sh 1,375,500),SAIS G.5. (Sh 1,401,000),SAIS G.6. (Sh 1,426,500),SAIS G.7. (Sh 1,452,000),SAIS G.8. (Sh 1,477,500),SAIS G.9. (Sh 1,503,000),SAIS G.10. (Sh 1,528,000),SAIS G.11. (Sh 1,554,000),na SAIS G.12. (Sh 1,579,000).
SAIS H
SAIS G.1. (Sh 1,672,000),SAIS G.2. (Sh 1,722,000),SAIS G.3. (Sh 1,772,000),SAIS G.4. (Sh 1,822,000),SAIS G.5. (Sh 1,872,000),SAIS G.6. (Sh 1,922,000),SAIS G.7. (Sh 1,972,000).
 
Nimeliona hilo gazeti lakini kuna ngazzi zingine za mishahara kama pmgss na pgss pia puss hazijawekwa
 
Kwa akili yako unafikiri hela zote ni kulipa mishahala tu,basi pendekeza kila mtumishi alipwe one milioni halafu huduma zingine sijui utatoa kwa kutumia pesa gani.

Hee, mbona we bwana mkali hivi? Naona umetumwa, hata tarehe yako ya kujiunga humu inaonyesha umetumwa kwa lengo maaalum. Karibu
 
Nchi hii kwa maneno
Balaaa !

Mishahara gani waksti hao watumishi
wanahali mbaya kwa madeni.
udanganyanyifu kila uchao.

Watu wenye maisha yenye rutuba hawako Serikalini.
 
Inaitwa kiini macho mkuu.
Uone kuwa kuna kitu kinafanyika ila bila bila.

haina maana wakati vitu vimepanda bei sana na kodi imepanda.
hivo wamejifanya kuwaongezea mshahara lakin hiyo ela yote wanaichukua kupitia kodi na gharama za maisha kupanda.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa akili yako unafikiri hela zote ni kulipa mishahala tu,basi pendekeza kila mtumishi alipwe one milioni halafu huduma zingine sijui utatoa kwa kutumia pesa gani.

acha kufikiri kwa ku2mia ma------. Ni huduma gani inayotolewa bure nchi hii? Shughulisha akili yako. Hizo pesa zinazobaki serikalini zinafanya kazi gani mbali na ku2mbuliwa na mafisadi? Kwanza mimi nawapongeza wakwepa kodi kwani bidhaa zinazokwepa kodi huuzwa kwa bei nafuu, ukilinganisha na zile zilipiwazo kodi, hivyo kutoa nafuu kwa mfanyakazi anayelipwa mshahara usiokidhi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom