Misemo ya kichaga!

ivi kuore pfo mmorang'u lurere? kipfa iha ngyionyi nyenyere tupu, kichaka kya kwi ikyi ndao kanyi? nyi korombo au? ngyiwaraho rero lyimwi lyimwi!!
 
Jamani ivi mnataka kuniambia kuwa humu ndani hakuna wachaga? mbona mnanitia aibu ivi mmeona chati ya wahaya?
 
Lady N, inyi nyi mchaka wo Morang na ngienda mndeny inu Desemba! kerera ng'u mae!
 
Tatizo ni kwamba wachagga hawana lugha moja. Kichagga cha Marangu tofauti na Kibosho, Rombo, Machame nk. Labda mtu anapoandika atuambie ni kichagga cha wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom