Misemo ya kichaga!

Shimbnyi Sha kasi = Habari za Kazi


Lugha hizi ukitaka kuzijua jifunze maneno ya mapenzi kwanza.... Ngikikundi = Nakupenda
 
wii te kumbe ni kuto u mliifundishana kunu.. lakini le vashuku vakwa findishaneni mbong'oha eeh na iva vateeshi kshaka vamanyehee
bwana cha rombo mashati hicho
 
namto......aaagh hii salamu ndo matusi matupu hapo mwisho malizia mba


Naantombe: Ni salaam ya asubuhi kwa mtu wa jinsi ya kiume kwa kimachame may be kwa wengine ni tusi ila kwetu tumezoe kabisaa na hakibadiliki kitu hapa la sivyo mnataka kuharibu utamaduni wetu.
 
aisee kuna jirani yangu mmoja pale machame alikuwa anagombana na mama yake halafu akamwambia=ewe mbusu den=nilikuwa naogopa kusikiliza


Aisee tutake radhi , kwani kilichokuogopesha hapo ni nini? wakati na wewe tayari mfano wako umefanya yale yale?
 
wii te kumbe ni kuto u mliifundishana kunu.. lakini le vashuku vakwa findishaneni mbong'oha eeh na iva vateeshi kshaka vamanyehee
bwana cha rombo mashati hicho

ye mwana mmeku cha mashati mrere mwana ndiakwa!waishwa iwe ndu wa umgwasi au areku thae.mbutana!
 
Ngabarikiwa,Ruva lyunu nekundi Barcelona ishindeee
kure mndu nekundi bisha?
 
Kosha mmeku akwa ufo nakahoru nga kwakwa kure ibishinga shiyo usheria fo shori imu ushe na mamnganyae

mmbuta! Shio kwakwa kure wari wa mshango. Kure na maru ya memba sa nyama ya nguku,shio ule,kolya utenwa wari kure ktambwa.kolya wetumya piwa ifo'kmorali na iburungusu!
 
namto......aaagh hii salamu ndo matusi matupu hapo mwisho malizia mba

Kichaga cha machame kusalimia mwanaume = Nantombe!
kusalimia mwanamke = Nantoma!

Hiyo hapo juu ya blackpeper keyboard ya kompyuta yake ilikorofisha.
 
nyira wandu wa iruwa mbon tan mwifo inda shiningen usare lwa moshi laweeee
shawakumbwa den
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom